Fundi kama Fundi,,Naswali kidogo hapa nje ya mada. Nina Toyota hiace dungu nataka nibadirishe injini niweke ya Noah 4s. Nina Maswali machache itaweza kubeba abiria 20 na kwa performance ile ile? Hiace za 2rz zinaninyanyasa sana.
Kwa nini isiwe Toyota Coaster Box body inayokuja na 1Hz ? Hapa utishi muda mrefu dhidi ya hawa madereva wa hovyo kama tu hiyo gari unampango ipige daladala
Nikimzungusha tajiri hela yake yote ya mauzobya safari naweza kuenjoy usiku mmoja na hii pisi mamaeee
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kuna mwaka nilitembea kwa miguu kutoka Kawe kwenda Kariakoo kwa miguuu.
Kwenda Kawe-Kariakoo kupitia Mlimani city,Ubungo
Kurudi Kariakoo-Kawe kupitia hapo Morocco,Mikocheni. Hizi ni ruti za daladala kabisa ila nilizipiga kwa soli ya viatu (kukosa hela ni adhabu).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.