Recent content by chelwa

  1. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili wakamatwa na maiti iliyofichwa dawa za kulevya

    Mi nina wasiwasi na serikali yetu,kwan mambo haya yanatokea viongozi wako kimya. na sakata la juzi la kutaka kuwataja viongozi wanaojishughulisha na biashara ya dawa za kulevya wamelizima. wakijua utajiri wao wote unategemea biashara hiyo. hata hivi waliokamatwa waweza kuwa kivuli cha vigogo...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wale wa TEKU tukutane kwa hapa.

    Hallo! mkubwa TEKU selection zimetoka? mbona nimejaribu kutembelea tovuti yao hakuna habari mpya?
  3. C

    JamiiForums Tanzania SELECTED STUDENTS BY TCU/CAS IN THE 1st AND 2nd ROUND JORDAN UNIVERSITY

    Hallo! chuo cha TEKU na MUST wametoa majina au bado?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze kuhusu TCU.

    Sorry napenda kujua majina ya waliokosa vyuo. kwan nimeingia website ya tcu sijabahatika kuyaona
  5. C

    JamiiForums Tanzania JKT Awamu ya tatu

    Awamu ya tatu ipo. kwan mpango huu nikwawote waliohitimu kidato cha sita.
Back
Top Bottom