Recent content by chelseafcfan

  1. chelseafcfan

    Tanzia: Sethi (bikira wa kisukuma) amefariki dunia

    RIP Sent from my HTC One M9 using JamiiForums mobile app
  2. chelseafcfan

    Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    Steve hana jinsi lazima aseme hayo anayo yasema hata kama ingekuwa wewe ameweka carrier za watu wengi matatani.
  3. chelseafcfan

    Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    Hiv Kati ya Wema Sepetu na Mama Sepetu nani anamuongoza mwenzake? Coz me naona kama wote wana behave like kids hawana idea what there doing kabisaaa, Yes hama chama bt y not go peacefully y all this bullshit. Wote sasa mnaonekana hamna akili.
  4. chelseafcfan

    Vita ya Dawa za Kulevya: Steve Nyerere alivyopiga kambi Bungeni Kumuokoa Wema Sepetu

    Mama Sepenga ndo karekodi zile coz kuna clip ameaanza kurekodi tangu anapiga cm na kama umesikiliza kwa makini utasiki notification sound za cm yake, na kama ulikiwa makini kusikiliza mama sepenga alikuwa anaogapa kufunguka wakati Steve alikuwa anafunguka tu akiamini its private, Binafsi ile sio...
  5. chelseafcfan

    Taaluma ya Habari Tanzania imekuwa hovyo sana kufuatilia Suala la Makonda

    Ndo maana Sugu alisema viongozi kama hawa wawe wanapitia bungeni wahakikiwe ndo wapitishwe, haya yote yasingekuwepo saiv coz najua huyu asingepita na wengine kama huyu pia kama wapo!!!
  6. chelseafcfan

    UCL

    Manchester united bhana,Your manager is shouting this is our night in UCL commercials, but he's playing Europa league . [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. chelseafcfan

    Tunataraji sakata la Makonda kutuhumiwa kufoji cheti litinge bungeni April, Ndalichako jiandae

    Ingekuwa ni kiongozi mwingine ana hizi tuhuma ungekuta amesha simamishwa kazi kwa ajili ya kupisha uchunguzi au hata angeshatumbuliwa siku nyingiiiii!
  8. chelseafcfan

    Mbowe: Nina mipango ya kudai fidia kwa kuchafuliwa jina, hilo liko wazi nilisema toka siku ya kwanza

    Haiwezekani eti Makonda alikuwa hajui gharama za kumchafulia mtu jina tena watu wakubwa kama Mbowe, bt he did it anyway, kiburi kina mcost saiv
  9. chelseafcfan

    Mheshimiwa Rais, hivi Makonda ulimchagua au ulichaguliwa?

    Huko c ndo ata aibisha nchi nzimaaaa!
  10. chelseafcfan

    Mheshimiwa Rais, hivi Makonda ulimchagua au ulichaguliwa?

    Eti nini apewe ubaloziiiiiii??????
  11. chelseafcfan

    Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

    Issue simple sana hii Mama Ndalichako afanye kazi yake
  12. chelseafcfan

    Angalizo kwa Rais na RC Makonda la kupewa ekari 1,500 za ardhi

    Mmiliki halali wa hiyo kampuni ni nani? Je ni mtanzania? Kama sio amewezaje kumiliki ardhi kubwa namna hiyo?
Back
Top Bottom