Recent content by chelazo

  1. C

    CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

    ni matter of time then kila kitu kitakua wazi,hatuwezi kujadili mambo kwa hisia na msukumo wa ki itikadi,ngoja watoke watasema what was actualy the issue behind tukio zima hili la arusha coz kwasasa ni habari za juu juu tu ndo tunazipata
  2. C

    Heche atangaza maandamano Dar kesho, Polisi yapiga marufuku!

    hatukatai watu kuandamana but what is behind maandamano is even more important kuliko kupangana tu barabarani,ni vema ukatupa details za nini hasa dhima ya maandamano hayo,sababu zilizowasukuma kuandamana na ujumbe mnaotaka kuufikisha kwa jamii kwa hayo maandamano,mkiwa na mantik katika haya...
Back
Top Bottom