Recent content by chelakalekwa

  1. chelakalekwa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Hapo mtoe butiku na makamba
  2. chelakalekwa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Ukweli ndo huo kwa Mungu na malaika, hiyo ndo Hali halisi bila kuficha, mpendwa raisi wangu angalia matokeo ya uraisi ya KIUKWELI utaona picha halisi, wanasema uongezewe muda Ni kwa masilahi yao.
  3. chelakalekwa

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Viongozi wa dini ndani ya TBC

    Kuwaza kwa kufikiri Fulani atapendezwa nahili au atachukizwa na lile Ni hangs kubwa Sana, Tumuombe Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa rehema atuongoze na tumtukuze yeye tu sio binadamu. Amina
  4. chelakalekwa

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Viongozi wa dini ndani ya TBC

    Ndo maana nasema unatatizo katika ubongo wako, umeshindwa kuwaza kwa kujitegemea
  5. chelakalekwa

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Viongozi wa dini ndani ya TBC

    Wewe una shida kwenye ubongo wako
  6. chelakalekwa

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Viongozi wa dini ndani ya TBC

    Wewe utakua na shida kwenye ubongo wako
  7. chelakalekwa

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Lissu kushindwa uchaguzi

    Wewe ni wa kuhurumiwa tu maana hujui au unafanya makusudi, magu asingetoka Kama uchaguzi ungekuwa wa Haki, wiziii wooteee huo unakuja hapa unaleta porojo,
  8. chelakalekwa

    JamiiForums Tanzania Taxpayers Bill of Rights to be introduced by Hon Lissu: See model from Canada

    Kweli Kodi zimekuwa nyingi sana
  9. chelakalekwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aliwahi kuisaidia nini Tanzania? Mwenye uelewa atuelezee

    Mikataba mingi ya madini ilikuwa mibaya amejitahidi Sana kupambana kisheria
  10. chelakalekwa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi: Je, hii nyumba ya TAKUKURU Dodoma inafikia thamani tajwa ya Tsh. 143 milioni?

    Acha uongo hiyo nyumba hiyo tofari 3200 Ni msingi TU Tena ukome kudanganya
  11. chelakalekwa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi: Je, hii nyumba ya TAKUKURU Dodoma inafikia thamani tajwa ya Tsh. 143 milioni?

    Bora useme Kuna watu wanasema 40 mara 70 hivi kweli wanajua kujenga na gharama zake kweli au Ni kuropoka tu.
  12. chelakalekwa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi: Je, hii nyumba ya TAKUKURU Dodoma inafikia thamani tajwa ya Tsh. 143 milioni?

    Hivi umeshawai kujenga wewe, au mnaongea tu
Back
Top Bottom