Recent content by cheguevara

  1. cheguevara

    Hawa ndo makomandoo wa Mbowe?

    Kuna kpmandoo hapo labda K*UMANDOO ya serikali ione tu makomandoo waliofukuzwa au kuacha kazi jwtz? Hizo ni cartoon za mbowe na serikali inayomlea kwa kazi maalum,mbowe yuko kazini kama kawaida WAJINGA ndiyo watashabikia kile anachofanya kwa kutokujua ila mwenye akili hana muda mchafu kumtukuza...
  2. cheguevara

    Hivi tofauti kati ya utu na ubinadamu ni ipi?

    Siyo kweli Binadam linatokana na Bin-Adam yaani mtoto wa Adam kulingana na maandiko ya kimapokeo kutoka mataifa ya magharibi na Mtu linatokana na U-mntu yaani mtoto wa Mntu kulingana na asili ya Kibantu ya watu wa Afrika
  3. cheguevara

    Nimemtimua Nabii aliyekuja kumtembelea Mke wangu

    Safi,siku nyingine wakija usiwafukuze weka bakuli la sadaka harafu watoe sadaka kwanza kabla ya maombi kisha kusanya fedha weka mfukoni agana nao kibingwa hawatakaa waje tena!!
  4. cheguevara

    Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

    Ulitaka afanyeje na ili iweje?je utamlelea familia yake?
  5. cheguevara

    Kumbukizi ya Dkt. Magufuli: Walimu mkoani Geita watakiwa Chato 17/3/2022

    Acha uchochezi sms uliyoweka haina mashiko subirini cdm wachukue nchi ndiyo muoneane huruma,hauna jipya bali upinzani wa majitaka unakusumbua!!
  6. cheguevara

    Kumbukizi ya Dkt. Magufuli: Walimu mkoani Geita watakiwa Chato 17/3/2022

    Acha kupotosha umma wapi serikali omeelekeza hivyo?
  7. cheguevara

    Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

    Inamaana picha huzioni?mamtu mengine bwana!!
  8. cheguevara

    Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

    Gsm ni kawaida yao kutengeneza skendo ili wajipatie pesa siyo ajabu
  9. cheguevara

    Ghalib wa GSM atoa vielelezo kuthibitisha Umiliki wa Kiwanja na Nyumba. Aagiza wanasheria kumchukulia hatua anayepotosha umma

    Huu ndiyo uharisia GSM wasjione wako juu ya WATANZANIA kabisaaaa ndiyo makonda anamadhambi yake basi ahukumiwe kwa madhambi yake ila Riz1 kama kahusika juu ya hili basi hana budi ajitathimini. Huu ukoo wa GSM ni laana unapaswa kufutiliwa mbali sivyo utatuendesha WATANZANIA kila uongozi...
  10. cheguevara

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Hapo kasimamia Mungu au islam? Muwe mnafikiri!!
  11. cheguevara

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Hapo kasimamia Mungu au islam? Muwe mnafikiri!!
  12. cheguevara

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Kama wewe ni mwarabu uko sahihi ila kama ni Mwafrika basi ni JINGA KUU
  13. cheguevara

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Nawewe ni nani kulingana na jina lako? islam ni uko wa kiarabu na imani/mila yao ni islamic. Sasa nyie mbwea mnahusianaje na ukoo huo au miila hizo??? Muwe na ibu basi wajinga nyie basi kama ni ukoo wa islam ubini wenu pia uwe islam i.e alikiba islam,
  14. cheguevara

    Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Kwa uongo huu warabu wameshakufyatua makalio tayari,wameuziana kiwanja 2013 wewe unakuja na habari za 2019,inzi wewe
  15. cheguevara

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Hii huduma ni gumashi haipo kwani ukinujua bufee kwa t.pesa hupati kifurushi na pesa hairudi. Mimi tangu tarehe 25.02.2022 nimenujua bufee ya 10,000 kwa t.pesa sijapata kifurushi na hao huduma kwa wateja ndiyo pumbafu kabisa hamna wanachojua
Back
Top Bottom