Recent content by cheetah fighter

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Harakisheni sheria ya Usalama mitandaoni

    Hilo ni muhimu kufanyika hata chumba changu cha kulala kina haki ya usiri kikatiba na kisheria, kwa hilo Mh. Rais naunga mkono hoja ya serikali
  2. C

    JamiiForums Tanzania London: Tanzania yaapa kutokomeza biashara ya Meno ya Tembo

    Tatizo tunakuwa wavivu wa kutafakarisha mbongo zetu sisi hatuna uwezo wa kupigana vita ya sisi kwa sisi alafu mlitaka tusiwe ata na kajambo kamoja kakujivunia kwenye jumuiya ya kimataifa tena mumuache rais wetu ashamirishe ulevi wa meno ya tembo na sembe,nasema tena mumuacheee!!!!!!!!!!!!!!!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Video: ITV News ya UK yapeleleza biashara ya NDOVU nchini, yawarekodi wauzaji bila ya wao kujua...

    Mmmmnh!!!!Siku zote ukweli unauma tusiwe mbumbumbu serikali inamapungufu katika utendaji ikubali kusaidiwa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tamko la TRA Kwa Wafanyabiashara Wote wanaogoma Kuhusu Mashine za EFD

    Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa ili pamoja na kwamba ntatumia lugha kali ila wafanyabiashara wa Tanzania ni wajanja wajanja(wahuni) hawataki hesabu yao ijulikane ili wakatwe kodi inayostahili lakini kila inapofika mwezi wa Saba ni lazima wapandishe bei za bidhaa kwa imani kuwa watumishi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    jingajinga mi napita tu eti kile ndo................????
  6. C

    JamiiForums Tanzania Lema apigwa na kuumizwa vibaya na polisi

    sawa sawa tupeni matokeo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sababu za kutonunua Kazi za Wasanii waliojiunga na CCM

    mimi ntanunua kwa kua najua hela hazipigi kura mwisho wa siku mtatuhamasisha tusishiriki mazishi ya marehemu wenye uhusiano na CCM eti kisa CHADEMA, MUNGU nibariki nisiwe mjinga kiivyo
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania rejects EAC single tourist visa plan!

    Sitta oyeee
  9. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Ni ngumu kwenye katiba tulisahau kuweka kipengele cha uchaguzi huru wa baraza la mawaziri
  10. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Asante sana mmeteuliwa mkafanye kazi mtuache na jamii forums tupige soga
  11. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Kesho linavunjwa mtafurahi?hao ndio waliobaki mlitaka yupi sasa?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nimetandikwa kofi la uso

    Santeeeeh juu ya nn kutamani haga ya mwenzio?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Prof muhongo aitia aibu tanzania;amtukana kamishna wake kwenye mkutano algeria;shame n him

    Kauli za majungu mkiambiwa ukweli mnasema anajisikia
  14. C

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wa kirokole mtaingia mbingu gani

    Ya Mungu mengi ila kipimo utumiacho kumhukum mwenzio ndo kitatumika kukuhukumu wewe fanya yanayokuhusu
  15. C

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lawatawanya wafuasi wa MM

    Asiewajua nani?Leo hamjaenda na mabomu yenu
Back
Top Bottom