Recent content by cheer

  1. C

    Oven na Chicken Plucker vinauzwa

    Kama unahitaji vifaa hivi kwa ajili ya biashara tafadhali wasiliana na 0653579325.Anaviuza kwa bei nzuri naamini na ni vipya ,havijatumika. Specification for Oven The oven has one deck, two decks or three decks. Each deck can work independently. For the three-deck oven, you can use only one...
  2. C

    Nauza Friers kwa ajili ya kukaangia chips au Samaki

    kama utakuw unahitaji tutaongea kaka.mimi sio dalali.
  3. C

    Nauza Friers kwa ajili ya kukaangia chips au Samaki

    Zamaulid nimekuandikia private msg.check bei.
  4. C

    Nauza Friers kwa ajili ya kukaangia chips au Samaki

    Kwa anayehitaji anaweza kunitafuta kwa 0653341553
  5. C

    Nauza Friers kwa ajili ya kukaangia chips au Samaki

    Wapendwa kama kuna mtu anahitaji friers kwa ajili ya kukaangia chips au samaki ninazo anaweza kuwasiliana nami tukaongea bei.Zipo zinazotumia umeme na gas.Ni nzuri kwa watu wenye biashara ya kukaanga chips au Samaki.
  6. C

    Nguo kwa bei ya Jumla

    mwipande uko wapi nikutafute,niko serious ati.
  7. C

    Nguo kwa bei ya Jumla

    Habari wandugu,kama unahitaji mashati ya kiume na nguo za kike kwa bei ya jumla unaweza kunipigia number 0769337024.Na nitakuletea sample popote ulipo dar.Mashati ni mazuri na hayapo mengi sokoni. Cheers
  8. C

    Nimekoma kuijaribu sumu kwa kuilamba

    Mhhhhh Umenichekesha kweli"""""""hamna ata ukurasa wa facebook abiria wangelike na kujipatia taarifa zenu mbal mbal mapema""""""unauliza na ukurasa wa facebook.??????
  9. C

    Zifahamu faida za kumeza manii kwa wanawake

    Hujasikia?? nakumbuka miaka ya tisini kuna mtu alitangaza kuwa kama umesumbuliwa na Malaria kwa muda mrefu.Ukinywa mkojo wako unaweza kukupa kinga ya kudumu dhidi ya Malaria:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
  10. C

    Biashara ya mbao na magogo

    Habari bandugu,nashukuru kwa mlioonyesha interest,lakini tunatafuta mtu mwenye uzoefu na baishara hii na mabaye anayo kampuni iliyoanda biashara tayari kama ukiachia miti iliyopigwa marufuku ,kama unaweza kusupply teak au wende,hawa wachina wanahitaji pia.Niandikie jacksonmpenda@yahoo.com.
  11. C

    Biashara ya mbao na magogo

    African rose wood
  12. C

    Biashara ya mbao na magogo

    nimekuandikia ujumbe binafsi
  13. C

    Biashara ya mbao na magogo

    nimekuandikia private message
  14. C

    Biashara ya mbao na magogo

    Habari za leo wanabodi, Kwa mtu binafsi au kampuni ambayo iko tayari kufanya bishara ya magogo au mbao na wachina kuna kampuni ya kichina inatafuta reliable supplier wa mbao au magogo. Hasa "rosewood " ukiweza kupata.Unaweza kuwasiliana na mimi kwa kuniandikia private meseji.Suala la pesa siyo...
  15. C

    Joyce banda na wizi wa dola m400 ndani ya malawi cashgate.

    Bora wimbo huu uvume sasa maana wamalawi walikuwa na kelele sana Juu ya umiliki wa ziwa nyasa.
Back
Top Bottom