Nimekoma kuijaribu sumu kwa kuilamba

Nimekoma kuijaribu sumu kwa kuilamba

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,953
Reaction score
2,044
Yani hapa nimepata jibu la kwanin japo kenya kuna milipuko hakuko safe na bado watalii wanazid kwenda.Wakat nnch yetu imeshinda tuzo za maajabu zaidi ya 3 na bado watalii hawavutiki kuja kama wanavyokwenda kenya ambapo hata maisha yao yanakuwa mashakani!

jibu nimelipata ni UTENDAJI,utendaj wa mambo watanzania tunaitaji SOMO MAALUMU,Na iwapo akitokea mtendaj mwadilifu basi atapigwa zengwe atajuta mfano tido muhando tbc,jero muro na yalomkuta, tanzania tutabak hivi hiv milele tusipobadilika katika utendaj wetu.

mim leo nimejaribu kutumia usafir wa tren la abiria linalotoka posta kwenda ubungo la mda wa sa kumi jion cha ajabu hadi mda huu sa kumi na moja na kitu tupo hapa hapa.mim usafir huu niliamua tu leo kuujaribu lakin kutokana na ubabaishaj niliona hapa sitorudia tena kuutumia.

kama mlikuwa mnajua amtaweza safirisha watu kwa wakat kwanin msingetoa tahadhar mapema tusije hapa station,hamna ata ukurasa wa facebook abiria wangelike na kujipatia taarifa zenu mbal mbal mapema.

KWEL TZ NI ZAIDI YA UIJUAVYO.
 
kama mlikuwa mnajua amtaweza safirisha watu kwa wakat kwanin msingetoa tahadhar mapema tusije hapa station,hamna ata ukurasa wa facebook abiria wangelike na kujipatia taarifa zenu mbal mbal mapema.KWEL TZ NI ZAIDI YA UIJUAVYO
Wenzetu wanajitangaza
 
Sa tufanyeje!

Swali hili halipaswi kutolewa na mwanaume, ni ishara ya kukata tamaa kabisa yaani hapo ndiyo umefika mwisho wa mawazo yako na unahitaji msaada!!

Hata kumuelekeza tu kuwa hilo ni shirika na lina viongozi ambao anaweza kwenda kupeleka malalamiko yake umeshindwa umeishia kukata tamaa namna hii kaka? Tatizo Watanzania hatuna destudi ya kuwajibishana tunaishia kulalamikia pembeni na ndiyo maana waliopo kwenye mamlaka wataendelea kutafuna na kuboronga coz wanajua hakuna kitakachofuata zaidi ya kelele tu.
 
Sitakaa nijaribu huo usafiri, asante kwa kunifundisha
 
Wenzetu wanajitangaza

Hata sisi tumejitangaza sana. Tatizo utendaji wa mamlaka husika wako kibinafsi zaidi na kupiga pesa badala ya kutoa huduma bora ili mgeni akiondoka akawatangazie wenzake na ikiwezekana arudi tena. Angalia mambo yanayoendelea wizarani.
 
Ntakujibu vzr mkuu, ingawa umejibu kishari

Swali hili halipaswi kutolewa na mwanaume, ni ishara ya kukata tamaa kabisa yaani hapo ndiyo umefika mwisho wa mawazo yako na unahitaji msaada!!

Hata kumuelekeza tu kuwa hilo ni shirika na lina viongozi ambao anaweza kwenda kupeleka malalamiko yake umeshindwa umeishia kukata tamaa namna hii kaka? Tatizo Watanzania hatuna destudi ya kuwajibishana tunaishia kulalamikia pembeni na ndiyo maana waliopo kwenye mamlaka wataendelea kutafuna na kuboronga coz wanajua hakuna kitakachofuata zaidi ya kelele tu.
 
Dengue ndo habari ya mujini,Ila pole mkuu❗
 
Kijana Juzi nimekuja kukujibu sasa bada ya kuona umetumia kigezo ambacho mimi naona ni upuuzi tu kwa sasa hakuna hayo mambo ya 'mwanaume vs mwanamke' hasa katika kutoa hoja ama kero.

back to the story: hivi malalamiko mangapi yaliyowahi fanyiwa kazi? jana nikiwa nasikiliza EA radio nimeskia ishu ya walemavu 100 kugoma kuondolewa kariakoo wakiwa wanafanya biashara hatimae wamerudishhwa (kwa kigeo cha ulemavu wao). Kimsingi malalamiko mengi hayafanyiwi kazi, nchi iko kama haina mwenyewe,no accountability ndio mana nikamshauri huyu muzee ahame nchi ikiwa ameonja sumu kwa kulamba na atakufa akendelea. Hivi bwana Kijana Juzi una shida yako uanze wapi? ukienda kwa mkurugenzi utaambiwa bajeti haitoshi sasa yeye afanyeje? dawa ni kuhama tu, njoo tupige box achana na kuonja sumu wewe

QUOTE=Kijana Juzi;9586198]Swali hili halipaswi kutolewa na mwanaume, ni ishara ya kukata tamaa kabisa yaani hapo ndiyo umefika mwisho wa mawazo yako na unahitaji msaada!!

Hata kumuelekeza tu kuwa hilo ni shirika na lina viongozi ambao anaweza kwenda kupeleka malalamiko yake umeshindwa umeishia kukata tamaa namna hii kaka? Tatizo Watanzania hatuna destudi ya kuwajibishana tunaishia kulalamikia pembeni na ndiyo maana waliopo kwenye mamlaka wataendelea kutafuna na kuboronga coz wanajua hakuna kitakachofuata zaidi ya kelele tu.[/QUOTE]
 
Ntakujibu vzr mkuu, ingawa umejibu kishari

Mitandaoni ni vile wewe msomaji unautafsiri ujumbe wa mwenzio, mimi nilipoandika sikuwa na lengo la shari ni wewe umetafsiri hivyo kama ambavyo na mimi nilitafsiri ujumbe wako uliouliza `sa tufanyeje` kuwa lengo lako lilikuwa si jema kabisa!! Ngoma droo kaka
 
Yani hapa nimepata jibu la kwanin japo kenya kuna milipuko hakuko safe na bado watalii wanazid kwenda.Wakat nnch yetu imeshinda tuzo za maajabu zaidi ya 3 na bado watalii hawavutiki kuja kama wanavyokwenda kenya ambapo hata maisha yao yanakuwa mashakani!

jibu nimelipata ni UTENDAJI,utendaj wa mambo watanzania tunaitaji SOMO MAALUMU,Na iwapo akitokea mtendaj mwadilifu basi atapigwa zengwe atajuta mfano tido muhando tbc,jero muro na yalomkuta, tanzania tutabak hivi hiv milele tusipobadilika katika utendaj wetu.

mim leo nimejaribu kutumia usafir wa tren la abiria linalotoka posta kwenda ubungo la mda wa sa kumi jion cha ajabu hadi mda huu sa kumi na moja na kitu tupo hapa hapa.mim usafir huu niliamua tu leo kuujaribu lakin kutokana na ubabaishaj niliona hapa sitorudia tena kuutumia.

kama mlikuwa mnajua amtaweza safirisha watu kwa wakat kwanin msingetoa tahadhar mapema tusije hapa station,hamna ata ukurasa wa facebook abiria wangelike na kujipatia taarifa zenu mbal mbal mapema.

KWEL TZ NI ZAIDI YA UIJUAVYO.

Mhhhhh Umenichekesha kweli"""""""hamna ata ukurasa wa facebook abiria wangelike na kujipatia taarifa zenu mbal mbal mapema""""""unauliza na ukurasa wa facebook.??????
 
Back
Top Bottom