Nadhani wameona walichoweka pale ni uchafu unachafaua taswira ya ile complex.
Ila muhimu nikuwa kwanini wasiende maeneo ya kibaha huko mwisho wa ruti yao watake mjini tu?
Stand ya Magufuli ilihamishiwa Mbezi, kwa minajiri yakuongezewa ukubwa na kupanua wigo wa kuwahudumia wananchi.
Mh. Makalla kuruhusu hizi stand chache kuendelea kutoa huduma nje ya stand na nje ya utaratibu wa kisheria ni kuendelea kubariki mambo yafutayo yaendelee kufanyika,
1. Kuendelea...
Nachomwambia MAMA yani apangue safu zooote ndio atulie
na bado naamini kuna watu wananufaika na watu ambao msomeno unakaribia kuwafikia kuwakata mirija yao ,
Mama usiogope nchi yako hii ikate mirija yote yakijinga kijinga pangua wote mbaka level ya mwisho
Mimi ntasimama na wewe.
Kuna kazi za wito inabidi watu waambiwe na si kuweka maslahi mbele mkuu hizi huduma wanapata wengi maskini na matajili waliokuwa nacho na wasiokuwa nacho.
Sasa kwanini tuamue kufanya hivi kwa watu ambao ni hawakupaswa kufanyiwa vitendo kama hivi,
Kama unaona maslahi hamna tujaribu kuwaachia wenye wito wakufanya kazi hizi wafanye
Watu wasio na hatia wanaumia nachosisitiza
Usiombee hili likukute
Tunaweza kuwalaumu serikali lakini tutambue kuwa hizi kazi za kuwahudumia watu zinaongozwa na wito na si maslahi tunatakiwa tujifunze baadhi ya vitu kama binadamu.
Naomba nieleze hili ambalo kwenye Moyo wangu siwezi kuliacha kamwe na sintolisahau katika mwaka uliopita linalohusu hospitali ya Mwananyamala.
Mnamo Tarehe 30/12/2020 nilimsaidia majeruhi wa pikipiki ambaye alikuwa amegongwa na gari kumuwahisha hosptali kwa ajili ya Matibabu, aligongewa mitaa...
Kwa mziki wa Tundu Antipas Lissu haika hapa kama nchi tutasogea mbele.
1: Ana akili
2: Utashi wa kisiasa
3: Uwezo wakupambania matatizo yabwatu
4: Mtu asiye kubali kushinwa katika mambo anayoyaamini.
5: Mwenye kutokuogopa
6: Anaudhubutu wakufanya jambo
7: Upeo mkubwa wakusikiliza na kushauriwa...
Hahaha hivi unafikili ni kwanini watu wameamua kumuunga mkono Membe?
Je Jiwe hakuna lolote alilolifanya..?
Je watu wameamua kumchoka mapema hivi kwanini?
Ajitathimini tu aone wapi anakosea....?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.