Recent content by Chebyshevy

  1. Chebyshevy

    JamiiForums Tanzania Nina maumbile ya Siri makubwa, msichana nikitembea nae huwa harudi

    JF buana!! mtu anajiita sukari ya warembo... chakushangaza sasa anakuja akilalamika warembo wnamkimbia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].....
  2. Chebyshevy

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

    [emoji41]
  3. Chebyshevy

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mademu wabaya huwa wanaringa sana?

    Hujawahi kuona gari inasura mbaya lakin inauzwa bei kali!??!... Ushawah jiuliza kwann!?.... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Chebyshevy

    JamiiForums Tanzania Wakubwa Naombeni Msaada wa Mawazo Yenu.

    Comment ya dr shayo ndo imefanya nifute nlichokuwa nataka nipost awali... Kweli bado ni mtot huyu... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Chebyshevy

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mademu wabaya huwa wanaringa sana?

    Yaaaaah!! Engine inakua ipo vzr ila body haivutiii.... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Chebyshevy

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mademu wabaya huwa wanaringa sana?

    Unatak utumie udhaifu wako kujinufaisha?! Icho unachokitaka pale kwa dem mbaya ndo kinachomfanya aringe... Salam ya kichokozi unaleta wajarib kueka mazingira ili umtafune... Ukion anaringa ujue anajiamni kwa kile ambach anacho kwa ndani.... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Chebyshevy

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje?

    mpak swala ilo unauliza mkuu??... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom