Recent content by CHE GUEVARA-II

  1. CHE GUEVARA-II

    Naomba msaada wa kujua gross na net salary ya mtu mwenye basic ya 2,192,540 Tshs

    Wataalamu (HR) wanajua,huwa kuna vinamba kama vile sijui 4.333 times nini, sijui vitu gani vingine....
  2. CHE GUEVARA-II

    Naomba msaada wa kujua gross na net salary ya mtu mwenye basic ya 2,192,540 Tshs

    TOTAL OVERTIME HOURS IN A MONTH & hence OVERTIME PAY.... by considering working hours and annual leave. Huo ndio msingi wa swali. Yaani overtime hours zitakuwa ngapi na pesa itakuwa ngapi kwa sheria za Tz.
  3. CHE GUEVARA-II

    Naomba msaada wa kujua gross na net salary ya mtu mwenye basic ya 2,192,540 Tshs

    Asante sana kwa majibu mazuri. Kwa kifupi nahitaji kujua hiyo total overtime hours kwa mwezi itakuwa kiasi gani kwa kuangalia vyote nilivyotaja (kufanya kazi 12 hours in a day/ 7 days in a week with only 28 days of annual leave). Assuming overtime pay na makato mengine yatazingatia sheria za...
  4. CHE GUEVARA-II

    Naomba msaada wa kujua gross na net salary ya mtu mwenye basic ya 2,192,540 Tshs

    Habari za jioni wadau? Naomba msaada wa kujua total overtime, gross na net salary ya mtu (KWA MWEZI), kwa mwenye basic salary ya 2,192,540 Tshs anayolipwa kwa kufanya saa 45 kwa wiki moja, i.e Mon-Fri (08:00-17:00) na Sat (08:00-13:00). Lakini akatakiwa kufanya na overtime ya kila siku kwa 12...
  5. CHE GUEVARA-II

    Naomba kujuzwa gharama ya nauli ya ndege Tanzania (Dar) - Namibia (Windhoek)

    Wadau, habari zenu? Naomba kujua aina ya ndege (flight) inayoweza kunipatia huduma ya kusafiri toka Tanzania (Dar) kwenda Namibia (Windhoek). Ni aina gani ya flight? Nauli ni kiasi gani (one way, go & return)? Wakala gani anaweza kunisaidia? Contact number ya wakala? Assuming all other...
  6. CHE GUEVARA-II

    Natafuta mkopo 2.5m tshs

    Inauma!
  7. CHE GUEVARA-II

    Natafuta mkopo 2.5m tshs

    JF wameliondoa tangazo langu la KUUZA KIWANJA? Mbona silioni tena? Yaani either of the two, itakayowahi ndiyo nitaitumia. Pesa ninayotaka si nyingi kulinganisha na thamani ya kiwanja, ndiyo maana kuuza ni last option.
  8. CHE GUEVARA-II

    Natafuta mkopo 2.5m tshs

    Nimeshatafuta. Asante kwa ushauri.
  9. CHE GUEVARA-II

    Natafuta mkopo 2.5m tshs

    Hii hapa nguzo ya umeme na umeme upon kwenye nguzo tayari.
  10. CHE GUEVARA-II

    Natafuta mkopo 2.5m tshs

    Umeme upo. Kutoka kwenye kiwanja hicho hadi kwenye nguzo ya umeme ni sm 30 (yaani futi moja).
  11. CHE GUEVARA-II

    Natafuta mkopo 2.5m tshs

    Kweli! Asante
  12. CHE GUEVARA-II

    Natafuta mkopo 2.5m tshs

    Kiwanja kina ukubwa wa 27mx20m... Thamani ya kiwanja kwa sasa ni zaidi ya 7.5M ... Nilikinunua kwa bei ya juu kuliko thamani yake halisi kwa sababu nilimvua mtu aliyekinunua kwa 4M (ambayo ndiyo gharama halisi ya kipindi hicho). Nilimvua kwa sababu kinapakana na kiwanja changu na nilihitaji...
  13. CHE GUEVARA-II

    Natafuta mkopo 2.5m tshs

    Nimeamua kukiuza kiwanja. Nahitaji 6M Anayehitaji anipigie kwenye 0789626574 tuzungumze.
Back
Top Bottom