Natafuta mkopo 2.5m tshs

Natafuta mkopo 2.5m tshs

Umeme upo.
Kutoka kwenye kiwanja hicho hadi kwenye nguzo ya umeme ni sm 30 (yaani futi moja).

Hii hapa nguzo ya umeme na umeme upon kwenye nguzo tayari. IMG-20190930-WA0067.jpg
 
Attachments

  • IMG-20190930-WA0060.jpg
    IMG-20190930-WA0060.jpg
    63.3 KB · Views: 26
  • IMG-20190930-WA0062.jpg
    IMG-20190930-WA0062.jpg
    67.9 KB · Views: 29
Mkuu Che pole sana labda tafuta dalali mtaani utaweza kiuza haraka zaidi na bei nzuri zaidi ya hapa. Hapa utaambulia maswali mengi na porojo zakutosha.
 
JF wameliondoa tangazo langu la KUUZA KIWANJA?
Mbona silioni tena?

Yaani either of the two, itakayowahi ndiyo nitaitumia.
Pesa ninayotaka si nyingi kulinganisha na thamani ya kiwanja, ndiyo maana kuuza ni last option.
IMG-20190930-WA0065.jpg
 
Attachments

  • IMG-20190930-WA0058.jpg
    IMG-20190930-WA0058.jpg
    79.3 KB · Views: 20
  • IMG-20190930-WA0060.jpg
    IMG-20190930-WA0060.jpg
    63.3 KB · Views: 21
  • IMG-20190930-WA0064.jpg
    IMG-20190930-WA0064.jpg
    118.2 KB · Views: 20
Nakushauri whatever it takes usiuze kiwanja! Pambana kwa njia nyingine tu ikiwemo kuchukua mkopo benki na ukipata pesa katikati lipa yote, au ni bora kama ng'ombe wapo uza lakini si kiwanja
 
Nakushauri whatever it takes usiuze kiwanja! Pambana kwa njia nyingine tu ikiwemo kuchukua mkopo benki na ukipata pesa katikati lipa yote, au ni bora kama ng'ombe wapo uza lakini si kiwanja

Inauma!
 
Nakushauri whatever it takes usiuze kiwanja! Pambana kwa njia nyingine tu ikiwemo kuchukua mkopo benki na ukipata pesa katikati lipa yote, au ni bora kama ng'ombe wapo uza lakini si kiwanja
Ushauri mzuri huu... Kuuza aifanye ndo option ya mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom