Recent content by Che Braza

  1. C

    Dk. Joyce Ndalichako, usibabaishwe na mtu yeyote

    Kwa Upuuzi huu tungoje wataalam kila sekta toka China hadi walimu wa Kiswahili manake tunajenga Taifa la Vilaza, jamani tuuungane 2015 kuiondosha CCM madarakani tunakokwenda sikooooo
  2. C

    Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

    Rafiki siku zote ni kwa kujifunza mema na mazuri. Lengo la chama chochote cha siasa ni kushika hatamu ya Dola kupitia uchaguzi. Sasa wewe ulisikia nchi za kiarabu zikifanya uchaguzi?? ama wakifanya basi mizengwe lazima. Nadhani ndio maana hawaoni faida ya kuwa na rafiki huko Uarabuni ni mawazo...
  3. C

    Biashara ya Lobster( Kamba Kochi)

    Ndugu nauliza soko la bei nzuri la Lobster. nimekua nikifanya biashara na mchina mmoja kwa muda sasa ila bei yake imekua ya kunyonga sana. J e kuna mdau yoyote mwenye idea ya soko zuri kwa hapa Dar au pia mahala pa kuwapata kwa bei nzuri walau 42,000 kwa kilo?? Nawasilisha
Back
Top Bottom