Recent content by CHC

  1. C

    Kurt Gödel: Mwanasayansi aliyekufa kwa njaa

    Kumbe akili nazo zikizidi ni majanga, nasikia mzee wa gravitational force sir isaac newton alikuwa anasahau kula na mwenyewe muda mwingine eti alikuwa anasahau jina lake.
  2. C

    Kurt Gödel: Mwanasayansi aliyekufa kwa njaa

    Huyo pamoja na akili zake alijitendea dhambi mwenyewe, aliogopa kifo cha sumu lkn kafa kwa njaa huo ni upunguani wake hata ingawa alikuwa mwenye akili
  3. C

    Kurt Gödel: Mwanasayansi aliyekufa kwa njaa

    Huyo pamoja na akili zake alijitendea dhambi mwenyewe, aliogopa kifo cha sumu lkn kafa wa njaa huo ni upunguani wake hata ingawa alikuwa mwenye akili
  4. C

    Mjue binadamu mwenye sura mbili aliyeishi karne ya 19

    Ni hekaya tu sidhani kama inawezekana kwa kitu kama hicho kutokea!
  5. C

    Upotolo wa simu yangu

    Mpe mtoto achezee kanunue ingine hiyo haikufai hata kidogo!
Back
Top Bottom