Recent content by chazi piere

  1. chazi piere

    Nahitaji mkopo wa shilingi milioni 2

    Dhamana ni shamba/nyumba Marejesho ndani ya miezi 2 Riba sisizi 20% Nipo kibaha Contact 0678804442
  2. chazi piere

    Nauza gari mitsubishi canter D33 tiper

    Gari ipo kwala Bei M 13 For more details Contact 0578804442
  3. chazi piere

    Nauza mashamba/viwanja Kwala

    Kuna kama km 89 hivi
  4. chazi piere

    Nauza mashamba/viwanja Kwala

    Heka 100 hamna mkuu
  5. chazi piere

    Nauza mashamba/viwanja Kwala

    Zilizopimwa zinaanzia 10M kuendelea kutegemeana na sehemu ilipo
  6. chazi piere

    Nauza mashamba/viwanja Kwala

    Asante kwa ramani, ni kibaha DC
  7. chazi piere

    Nauza mashamba/viwanja Kwala

    Iliopimwa au ambayo haijapimwa ? Na pia inategemea na sehemu iliopo.Kwa hy bei hazilingani ndo maana nimesema ni maelewa
  8. chazi piere

    Nauza mashamba/viwanja Kwala

    Migogoro ipi kaka na halmashauri inapima na Hati zinatolewa
  9. chazi piere

    Nauza mashamba/viwanja Kwala

    Nauza mashamba na viwanja kwala Kwala ipo kijiji cha kwala wilaya ya Kibaha Mkoa wa pwani.Kuna bandari ya inchi kavu,karakana ya mradi wa SGR na kongani ya viwanda 200.Kwala ipo km 15 kutoka morogoro road unaingilia round about ya mizani ya vigwaza.Viwanja/mashamba vipo vilivyopimwa na ambavyo...
  10. chazi piere

    Jipatie King'amuzi cha Canal Plus

    Kwa hy ukiwa na mpesa au tigopesa unaweza kulipia canal+?
  11. chazi piere

    Nimepata Tsh. Milioni 1.3, naomba ushauri wa aina ya biashara ninayoweza kufanya

    Hizo idea zote ni nzr ila km huna ujuzi nazo na wala huwezi kusimamia eti mpk umpe mtu utafeli usithubutu
  12. chazi piere

    Babershop inauzwa

    Hv vitu vyote unauza bei gani?
  13. chazi piere

    INAUZWA Mashine ya kuchana mbao

    Nahitaji unitengenezee mashine ya kuchana mbao kama hy ntakupigia
  14. chazi piere

    INAUZWA Tunauza TV, Fridge, Home theatre na vifaa vingine vya umeme

    Full warranty ndo umemaanisha nn?
  15. chazi piere

    Kaniacha baada ya kumtoa kimaisha

    Pole sn Dada huyo inaonekana hajawahi kukupenda ht siku moja alikubali tu kuwa na ww sababu ya shida za kimaisha ila kwa kuwa ss hv shida zimeisha ndo maana hakutaki anahitaji mtu wa ndoto zake.Hiyo ni kawaida ttz ww hukujua mapema tu ungeweza kuepuka hiyo kadhia.Jiandae tu kisaikolojia kuishi...
Back
Top Bottom