Recent content by chaz-b1

  1. chaz-b1

    JamiiForums Tanzania Hili andiko linafaa kuthibitisha Yesu na Mungu ni mtu mmoja

    Kumbukumbu la Torati 6:4 [4]Sikiza, Ee Israeli; BWANA, Mungu wetu, BWANA ndiye mmoja. Hear, O Israel: The LORD our God is one LORD: “Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja;” — Marko 12:29 (Biblia Takatifu) “Mimi na Baba tu umoja.” — Yohana 10:30...
  2. chaz-b1

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Eneo Igumbilo -Iringa majengo mapya bypass, Mwaka 2021 Julai nilipeleka form ya maombi ya kuunganishwa umeme ikiwa imekamilika, mpimaji akaja kupima, akasema kutoka na nguzo zipo mbali na nilipo na nyumba zote za eneo nilipo hazijapatiwa umeme hivyo tusubiri Mradi ambao wangeuleta mwezi septemba...
  3. chaz-b1

    JamiiForums Tanzania Hii ni zaidi ya Escrow,tupinge kwa pamoja bila kujali itikadi

    Yaan ni bora ningezaliwa Somalia ningekuwa alshabab kuliko kwenye inji kama hii iliyojaa asali na maziwa lakini wananchi wao Wananyonywa haki zao, ila ndo hivyo......!
Back
Top Bottom