Recent content by Chawaka

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Rudisha mali za umma walizojilimbikizia Lowassa na Sumaye

    Mimi nawashukuru ccm kwa kukatana,kwenye mchakato wa uchaguzi kwani mengi leo tuna yajua,yaani Wachawi wakigombana faida kwa watu.Leo hii Sumaye ,na wengine wote wanafunguka najiuliza swali wange chaguliwa wangefungukaa haya yote ya kiini cha Richmond tunge kijuaa? Hongereni Wachawi gombaneni...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nini athari za meno ya bandia kwa binadamu?

    Mimi nimeweka kwenye Hospital moja pale Temeke jinomoja kwa sh.5000 tu,nimeweka mawili.10000.Siku ya kwanzaunapimwa kesho yake wanapachika mazuri sana.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Lipumba: CCM ina wagombea wawili, Lowassa na Magufuli

    Lipumba hananjaa kwataarifa yako ndani ya ukawa hakuna msomi hatammoja ambaye anawezakumfikia Lipumba.,,Lipumba hanashida ya vijisenti ujue Lipumba nimwenyekiti wa bodi ya utafiti wakimataifa wa kiuchumi Duniani ,umelala eeh.,achana nae kaka Lipumba sio mwenzio, haohao wavimba macho wenzio...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tutampigia Kura Magufuli na Kupata Ushindi Wa Kishindo Oktoba 25!!

    kumbe leo nimekubali maneno ya mwalim Jk, nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm nimeamini.Kumbe sisi wote ccm, lakini tu,tumechoka wenzetu wanakula peke yao,aaaha.Basi watupishe oktoba na ccm sisi zamuyetu tuibe,japo kidogo nasi tuboreshe maisha.Ukawa oyeee...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Angalia unafiki wa Profesa Lipumba

    kukumbatiana sio sababu, ujue Lipumba anaupeo mkubwa sana.,sana huyu jamaa kweli ni profesa,hata mbowe amejua kwamba Lipumba sungura.Ule ni mkenge ,UKAWA si chama cha siasa.Lowasa raisi kutoka chadema.kusapoti ukawa isha geukani kusapoti Chadema, Chadema kinakua watu wanajiunga CUF nguvu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Mbowe tamaazako zitaishia octoba.Lipumba sungura alafu msomi ,1:kajua ukawa si chama cha siasa(hakitambuliki)2;Lowasa mgombea wa chadema.,kusapoti ukawa ni kukipromoti Chadema.,uku cuf inadoda.3Lowassa akishinda uraisi imeshinda chadema.Mawaziri watapangwa na chadema hakuna hati ya muungano wa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa akutana na Maalim Seif kwa faragha Dsm

    Alishindwa Lyatonga ,ataweza Lowasa? kwanza jukwaani atasema kitugani watu tukamuelewa? tamaa tu hizo za urais mbona kazi za kufanya nyingi? Lazima uraisi ? Asubiri octoba ndo ataijua ccm.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ukiona kwenye familia baba anajiringanisha na mtoto wake ujue familia hiyo imeshasambaratika

    Uko ni kujidanganya,subirini oktoba.
Back
Top Bottom