Recent content by chawade

  1. C

    JamiiForums Tanzania Watangaza nia waivua nguo CCM

    Chama cha Mapinduzi kimevuliwa nguo na watangaza nia wake kwa sababu ya mambo wanayoyafanya. Chama kimekuwa kama genge la walevi au genge fulani lisilokuwa na taratibu zinazokiongoza. CCM ni chama ambacho kimekaa madarakani zaidi ya miaka 30. Chama ambacho kimekuwa ni kisima cha viongozi...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wapinzani hawana nia ya dhati ya kushika dola.

    WAPINZANI HAWANA NIA YA DHATI YA KUSHIKA DOLA. Vyama vya upinzani bado havijawa na nia ya dhati ya kushika dola ya nchi hii. Vyama hivi vinakosa sifa ya kuwa na nia ya dhati ya kushika dola kutokana na namna ambavyo viongozi hawa wamekuwa miungu watu. Viongozi hawa wamejipangia ufalme wa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wapinzani hawana nia ya dhati ya kushika dola

    WAPINZANI HAWANA NIA YA DHATI YA KUSHIKA DOLA. Vyama vya upinzani bado havijawa na nia ya dhati ya kushika dola ya nchi hii. Vyama hivi vinakosa sifa ya kuwa na nia ya dhati ya kushika dola kutokana na namna ambavyo viongozi hawa wamekuwa miungu watu. Viongozi hawa wamejipangia ufalme wa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Watangaza nia waivua nguo CCM

    Ni kweli kabisa
  5. C

    JamiiForums Tanzania Watangaza nia waivua nguo CCM

    WATANGAZA NIA WAIVUA NGUO CCM. Chama cha Mapinduzi kimevuliwa nguo na watangaza nia wake kwa sababu ya mambo wanayoyafanya. Chama kimekuwa kama genge la walevi au genge fulani lisilokuwa na taratibu zinazokiongoza. CCM ni chama ambacho kimekaa madarakani zaidi ya miaka 30. Chama...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wantazania tuwe na matumaini

    CHAMA CHA WANANCHI NA DEMOKRASIA CHAWADE Phone: +255 789113534, +255 715 039991 Mw/Chai – Matombo na Gombero (house No 28) chamachawade@yahoo.com  Ndugu wanachama wa CHAWADE, napenda kuchukuwa fursa hii adimu kwa heshima kubwa kuzungumza nanyi kupitia WARAKA huu, mambo...
  7. C

    JamiiForums Tanzania watanzania tuwe wazalendo na nchi yetu

    CHAMA CHA WANANCHI NA DEMOKRASIA CHAWADE Phone: +255 789113534, +255 715 039991 Mw/Chai – Matombo na Gombero (house No 28) chamachawade@yahoo.com TUSIDANGANYIKE!!! Ndugu wananchi, leo napenda kujadili angalau kwa ufupi juu ya viongozi wetu wa vyama vya upinzani kama wana utofauti...
  8. C

    JamiiForums Tanzania watanzania tuwe wazalendo

  9. C

  10. C

    JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu juu ya maendeleo ya CHAWADE

    CHAMA CHA WANANCHI NA DEMOKRASIA CHAWADE Phone: +255 789113534, +255 715 039991 Mw/Chai – Matombo na Gombero (house No 28) chamachawade@yahoo.com Taarifa kwa Umma Ndugu wanachama wa CHAWADE, napenda kuchukuwa fursa hii adimu kwa heshima kubwa kuzungumza nanyi kupitia WARAKA huu...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kikwete kajitahidi katika kiutendaji katika awamu yake

    Jitahada za Rais wa awamu ya nne na serikali yake katika kukiimarisha chama cha mapinduzi tangu akiwa waziri mpaka urais. Huyu ni Bwana Jakaya M. Kikwete ni kiongozi ambaye ameweza kujitengenezea mazingira mazuri kabla ya kuwania nafasi ya urais tangu akiwa bado ni waziri wa mambo ya nje...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Vyama vyetu

    CHAWADE S. L. P 90041 Dar es salaam. Phone: +255 789113534, +255 688 080 063 Mw/Chai - Matombo na Gombero (house No 28) chamachawade@yahoo.com- - VYAMA VYA SIASA VYATUMIKA KUPOTOSHA WATANZANIA - Wakati mchakato wa mabadiliko wa katiba ukifikia hatua ya kwanza ya maoni inayotarajiwa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vyatumika kupotosha watanzania

    Wakati mchakato wa mabadiliko wa katiba ukifikia hatua ya kwanza ya maoni inayotarajiwa kupigwa Aprili 30 mwaka huu, kuna baadhi ya watu wameendelea kubaki njia panda kuhusu suala hili la mabadiliko ya katiba mpya. -Ikiwamo suala hili ni kutaka kufanyika kimaslahi zaidi kwa baadhi ya vyama vya...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Warioba anafanya kazi hii kwa niaba ya nani? Huo ni uchochezi

    CHAMA CHA WANANCHI NA DEMOKRASIA (CHAWADE) S. L. P 90041- DAR ES SALAM Tel 0789 113534. 10/11/2014 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WARIOBA ANAFANYA KAZI HII KWA NIABA YA NANI? HUO NI UCHOCHEZI. Sheria ya mabadiliko ya Katiba sura 83 toleo la mwaka 2014 toleo liliorekebishwa la...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Suala si kuunganisha vyama, suala ni uwepo wa vyama vyenyewe

    CHAMA CHA WANANCH NA DEMOKRASIA (CHAWADE) S. L. P 90041- DAR ES SALAM Tel: 0789 113534. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 21/11/2014 Suala si kuunganisha vyama, suala ni uwepo wa vyama vyenyewe. Vyama vya siasa ni mkusanyiko wa watu ambao wameungana pamoja kuendeleza shughuli zao...
Back
Top Bottom