Recent content by Chawa hatumwi

  1. Chawa hatumwi

    Nashauri list ya polisi ya Mnyika et al wakimbie nchi and fight from abroad

    Hamna haja ya kukimbia nchi kwani wanakosa gani? Wakiwafunga wengine watanitokeza tu.
  2. Chawa hatumwi

    Headteacher anaitajika wa primary school

    Shule moja iko ya English medium inahitaji exprienced headteacher jinsia ke, shule ni mpya inafunguliwa January 2026. Awe self-driven with marketing strategy remuneration ita depend na uwezo na mafanikio yake, preferably awe anaishi mkoa wa mwanza Nyamagana. Mwenye interest nitafute.
  3. Chawa hatumwi

    ChatGpt special thread

    Members please mwenye link ya chartGpt ya whatup tafadhali nime poteza simu yangu na kupoteza ya whatup link yake tafadhali, mwenye kua nao.
  4. Chawa hatumwi

    Kama ni kweli ninayosikia basi nchi inaelekea kupona

    Kikwete kafanya nini?
Back
Top Bottom