Recent content by Chausikumchana

  1. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

    Kampeleke kwaki ili ufaidi hizo sifa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ghafla Zitto Kabwe amegeuka adui wa CHADEMA, Kila dalili ya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani bungeni baada ya uchaguzi mkuu 2020

    Pole, yaani ungejua nguvu ya cuf bala ndio ungeandika huu ushuzi wako humu.ACT ni cuf
  3. C

    JamiiForums Tanzania NEC: Kama CHADEMA hawakumuandikia Spika barua hakukuwa na tatizo

    Ni wapi sheria na katiba ya nchi inazungumzia busara za spika? Vile vile mwambe alifukuzwa au alijiuzulu mwenyewe?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa benki kukopesha watumishi kupitia simu (mobile) haivunji utaratibu uliowekwa na serikali wa 1/3?

    An Any the logic behind kwenye Uzi sio maswala ya riba, bali ni nani anaidhinisha hii mikopo kama utaratibu uliowekwa unavyosema
  5. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa benki kukopesha watumishi kupitia simu (mobile) haivunji utaratibu uliowekwa na serikali wa 1/3?

    Kwa haraka haraka unaweza kuona unawasaidia lakini itafika mwisho wa mwezi mtumishi hana kitu unafikiri atafanya kazi ?
  6. C

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi Mimi naomba kujua kuhusu hili swala LA kukopesha watumishi wa umma kupitia simu zao za mkononi ,je ule utaratibu na kujaza fomu ya mkopo na kupitishwa kwa mwajili wake ili Ku approve kama anastahili kukopa au amefikia ukomo wa kukopa kwa mshahara wake umefutwa? Kama utaratibu wa 1/3 ya...
  7. C

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mi naomba mnisaidie kuhusu hili swala mnalokopesha watumishi wa umma kupitia simu,bila mtumishi kujaza fomu iende kwa mwajili wake kupitishwa na kuona kama 1/3 yake inamruhusu kukopa? Je ule ukomo wa kukopa mtumishi unazingatiwa? Na kama unazingatiwa ni afisa gani wa serikali anaye approve hii...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu

    Jamani huu utaratibu wa benki kukopesha watumishi kupitia simu (mobile) haukiuki utaratibu uliowekwa na serikali wa 1/3 ya mshahara wa mtumishi ,utaratibu wa ukomo wa kukopa unafuatwa ?kama kuna MTU anafanya kazi benki au yeyeto mwenye uzoefu na hili jambo anisaidie . maana sasa HV MTU yuko...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa benki kukopesha watumishi kupitia simu (mobile) haivunji utaratibu uliowekwa na serikali wa 1/3?

    Jamani huu utaraibu wa benki kukopesha watumishi kupitia simu (mobile) haivunji utaratibu uliwekwa na serikali wa 1/3, ? Kama kuna MTU wa benki humu anisaidiee nijue kama ule utaratibu wa ukomo wa kukopapa unafuatwa? Msaada tafadhali
Back
Top Bottom