Recent content by Chausiku siyo Chamchana

  1. Chausiku siyo Chamchana

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Nimeahidiwa mkopo wa 2m kwa riba ya 5% ambao nitatakiwa kuulipa kwa miezi 6. Kabla sijaenda kuuchukua nimeona ni vema nikaja humu kuomba ushauri kwa great thinkers mnisaidie ushauri kutokana na uzoefu wenu ni biashara gani nikifanya nitakidhi terms za mkopo? Ninamtanguliza shukrani zangu za...
  2. Chausiku siyo Chamchana

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Moyes huyu "The Chosen One" ambae aliipokea Man Utd iliyotoka kutwaa ubingwa wa EPL na ikamshinda! Hizi ni chuki dhidi ya Pep Guardiola "King of Tactics" Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Chausiku siyo Chamchana

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Tuache au tupunguze chuki. Man Cty hii hii kabla ya Pep Guardiola walipita makocha wengine na tulishuhudia wakiteseka. Leo hii tunashuhudia Mourinho alivyoteseka na Man Utd timu yenye wachezaji ghali zaidi, pia tunashuhudia Maurizio Sarri akiteseka pale Chelsea timu ya tajiri mkubwa. Ndugu...
  4. Chausiku siyo Chamchana

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Kilichoandikwa hapa ni uoga wa maisha. Uoga wako ndio umasikini wako Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Chausiku siyo Chamchana

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Haya ni maisha na hizi ndio ajira zao. Tuache Zidane afanye maisha yake. Hivi Mourinho amewahi kuajiriwa darajani Chelsea mara ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Chausiku siyo Chamchana

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Uko sahihi..... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Chausiku siyo Chamchana

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Sio kweli et wanapenda timu zenye mpunga mrefu. Sema wanapenda timu zinazotaka mafanikio. Na kwa sasa mpira ni pesa. Bila kuwa na pesa utaishia kuwa msindikizaji kama Arsenal. Nitajie timu yenye mafanikio na haitumii pesa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Chausiku siyo Chamchana

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Wakikutana na Seville nk wanaangukia pua Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Chausiku siyo Chamchana

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Mimi binafsi huwa sielewi wanatumia vigezo gani kusema EPL ndio ligi bora huku karibu miaka 10 La Liga ndio inatawala UEFA & Europa Cup Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Chausiku siyo Chamchana

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Usiempenda kaja..... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Chausiku siyo Chamchana

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Pep Guardiola amekwenda EPL kuwa usiempenda kaja. Waliokua wanamponda na matusi ya kila aina siku nyingi sana walishakubali wanakuambia Pep kocha wa mafanikio na records. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Chausiku siyo Chamchana

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Pep Guardiola ni habari nyingine. Kuna watu walikuwa wakimtukana sana akiwa Barca na Bayern. Wakijinadi aje EPL aone mziki..... Hapo EPL kila mwezi anavunja records zao zilizodumu kwa muda mrefu na kuweka records zake. USIEMPENDA KAJA...... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Chausiku siyo Chamchana

    Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

    Punguza ushabiki na chuki. Zidane anaelewa nguvu ya Messi na anaheshimu uwepo wa Messi. Kwa miaka mitatu ambayo Zidane alikua kocha wa Real Madrid, alifanikiwa kuchukua ubingwa wa La Liga mara moja tu na hakufanikiwa kuchukua kombe la mfalme hata mara moja. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Chausiku siyo Chamchana

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    PSG wanaongoza ligi isiyokua na ushindani. Kumbuka miaka ya nyuma EPL ilikua ligi ya timu 2 Man Utd na Arsenal, baada ya Abramovic kuinunua Chelsea nayo ikaingia kwenye orodha ya timu shindani na sasa kuna Man City, Liverpool na Spurs. PSG ni sawa na Bayern kule Bundesliga.
  15. Chausiku siyo Chamchana

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Kuna wakati ninatamani ligi iishe hata leo ili Man City apewe ndoo yake. Hao wengine wataongea sana. Nimeshangazwa sana na ushangiliaji wa Klopp kwa ushindi dhidi ya Everton kama imetwaa ubingwa wa EPL!
Back
Top Bottom