Sio story in kweli. Mi mume Wangu kamwambia house girl na kwa sasa kabinti kana kiburi hata umwambie nini anafanya akijisikia na kubetua midomo. Pia mtaani anamsimulia kila mtu, sasa sijui watu wananichukulia vipi. Si kwamba wao so binadamu ila inapoteza heshima ya mwenye mji.
Ni kweli kabisa mi rafiki za mume Wangu wamekuwa wakinijia kwa staili za udhaifu wake wananipa hadi picha za matukio ili nilegee il a siwezi tumia udhaifu wa mtu kujidharirisha. Pia nilidhani mtu akitembea sana na watu wa aina tofauti anakuwa na maujuzi kumbe sio. Wengine ni wadhaifu...
Treat me like a Queen I will treat you like a King. Sio wataka ufalme wakati mwenendo wako wa kilala hoi. Natamani mume Wangu angekuwa na tabia nzuri yaani ningemlamba hadi miguu. Lakini fikiri mtu unamnyo.nya kunako..... kesho wasikia anawatu kibao kweli utaendelea, pili umeyajua hayo yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.