Recent content by chaUkucha

 1. chaUkucha

  Hatimae Mwezi huu (Agosti, 2021) nahamia kwangu ili niwe huru kupiga muziki kwa sauti ya juu

  Me bado nimepanga ila juzi nimenunua sofa kali nifanyeje ili majirani wajuee[emoji12][emoji12]
 2. chaUkucha

  Naomba kujuzwa dawa ya jino bila kun'goa

  Ngoja nijaribu hii[emoji44][emoji16]
 3. chaUkucha

  Naomba kujuzwa dawa ya jino bila kun'goa

  Duh! huo mti kuupata sasa!
 4. chaUkucha

  Naomba kujuzwa dawa ya jino bila kun'goa

  Huenda shida haiko kwenye jino. Umesoma nilichoandika awali
 5. chaUkucha

  Naomba kujuzwa dawa ya jino bila kun'goa

  Miaka ya nyuma nikiwa mdogo meno mawili ya juu ya mbele yaliweka tobo nikapelekwa hospitali wakaziba kilichotokea pale walipoziba siku zilivyokuwa zinaenda pakabanduka alafu pakatengeneza kama mwanya mpaka saiv hayo meno mawili yamepukutika yenyewe na kubaki pengo bila kuuma bila kun'goa Kama...
 6. chaUkucha

  Naomba kujuzwa dawa ya jino bila kun'goa

  Meno yangu karibu yote ni mabovu Kama ni kun'goa labda nin'goe yote niweke ya bandia
 7. chaUkucha

  Naomba kujuzwa dawa ya jino bila kun'goa

  Huyo ndo ananifaa ila me nipo Dar
 8. chaUkucha

  Naomba kujuzwa dawa ya jino bila kun'goa

  Basi na mimi nitafariki maana meno yangu karibu yote ni mabovu huwa yanalegea bila kuuma na kutoka yenyewe ila hili linauma na Kuna lingine ukiligusa linauma pia
 9. chaUkucha

  Naomba kujuzwa dawa ya jino bila kun'goa

  Nilizibe na nini sina hakika Kama limetoboka ila linauma sana
 10. chaUkucha

  Naomba kujuzwa dawa ya jino bila kun'goa

  Mimi nataka tiba ya asili sipatani na hospitali mimi
 11. chaUkucha

  Naomba kujuzwa dawa ya jino bila kun'goa

  Nasumbuliwa na jino linauma balaa sitaki kulin'goa maana mapengo niliyonayo yanatosha, alafu Kuna mtu kanitisha kaniambia ukienda kun'goa jino umri huu 30+ unaweza kupata shida kwenye macho. Kama Kuna mtu anajua dawa ya jino anisaidie jana sijalalaa, nikila chakula cha moto maumivu maji ya...
 12. chaUkucha

  Wazazi wanavyochangia umasikini

  Sasa unakuta dingi yeye ni ubabe tu kwa mtoto hakuna cha upendo wala amani mwishowe mtoto anakuwa kibaka au jambazi kabisa fuatilia familia za vibaka na wale wadada wanaojiuza utagundua shida kubwa sana kwenye malezi ambapo chanzo ni wazazi.
 13. chaUkucha

  Wazazi wanavyochangia umasikini

  Nakubaliana na wewe na huyu mzazi unayemzungumzia hapa ni baba na ana jina lake lingine anaitwa dingi na domokaya na man dojo walimuimba kwenye nyimbo yao. Aina hii ya mzazi ni wanoko, bandidu na ni wajuaji sana na hata ukiwaita wajinga ni sawa tu!
 14. chaUkucha

  Jeshi la Polisi limeshindwa kuwakamata wavuta bangi uwanjani MECCO Kunduchi Mtongani

  Halafu wezi wa mtongani kunduchi wanalindana sana kama ni mwenyeji akidakwa anapelekwa polisi Kama ni mgeni akidakwa wanauaa[emoji57]
 15. chaUkucha

  Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

  Godoro lina kungunii wanaficha aibuu
Top Bottom