Recent content by chaukimya

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye aibu...

    Habari? Wajameni naombeni msaada wa kimawazo. Kuna mwanaume ambaye anaonyesha dalili zote za kunihitaji kwenye mahusiano lakini hawezi kabisa kutamka kuwa ananihitaji anapokuwa hajanywa pombe. Anapolewa anaweza kuongea chochote na kuahidi kila kitu. Ila pombe zinapomtoka, atabaki kufanya ishara...
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    😊 Silalamiki dear. Nimependa kushare na baadhi wanaopitia situation kama hizi, wasihisi unaongea au kuwa watumwa na kufanya Yale mioyo yao inakataa.
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    Pole na wewe 😆
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    Ambayo sikuuliza pia...
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    No Sina mpango wa kusifiwa but it seems unaongea mradi or otherwise ungeelewa point yangu. Mtazamo wako kuwa nimekosea au nimepata, it doesn't matter kwangu. Wala sikukukosoa kwa mtazamo wako hasi. My point was wewe kujudge. Hujui mbeleni kwangu kuna nini na kwanini haya yametokea. Siogopi...
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    Wewe ulinijudge Kwa maandishi. Mimi simtumainii yeye na wala sikuwahi kumtumainia yeye. Hayo yaliyotokea ni kawaida sana.
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    Go find out 😊
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    Never judge a book by its cover
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    Hakuna sehemu niliyosema ilikua Bahati mbaya mkuu. Siku hizi wanawake tunajitambua ila wanaume waliobaki Ni wachache mno.
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    Halafu baadaye mnaanza kusumbua kutaka watoto 😁
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    Okey
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    Hii ndio sababu kubwa inayonifanya niwe proud kuwa mbali naye. Ninaamini nikijitahidi kumlea Kwa msaada wa Mungu kuliko baba yake, itakuwa vema kwa ajili yake.
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    I wish ungefahamu wanaume wa aina hii wasiojua nini wanahitaji kwenye maisha yao. Unaweza ukaamini chochote ila ujue tunatumia majina fake, hatuna haja ya kuficha kama mtu anaamua kusema yaliyomsibu.
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mtoto kanitelekeza

    Ningeforce Si ndio ningemtumia mtoto kumlazimisha abaki! Au ningetoa ili abaki kama anavyodai.
Back
Top Bottom