Recent content by chatta manyema

  1. C

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Ndembwela Ngunangwa,Salum Ngajulage,Mbano,Halimeshi Mayonga
  2. C

    Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

    Huo upuuzi nenda kaujadili na mabwana zako wanaokutuma(CCM)....watanzania hatuhitaji kujua mzazi wa slaa tunachotaka ni kuelezwa utekelezaji w ahadi zenu umefikia wapi
  3. C

    Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    huyu dada sidhani kama anakielewa hicho alichoandika...
  4. C

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    watanzania hatutaki kusikia juu ya kifo cha chadema au vyama vingine tunachotaka ni kutekelezwa kwa ahadi mlizotuahidi sio kupoteza muda kuzungumzia visivyo na faida kwetu...hivi huyu Mwigulu ni lini atazungumza vitu vya msingi na vyenye faida kwa watanzania?badilika kaka....
  5. C

    Live from Dodoma: Wagombea CCM nafasi mbalimbali 2012

    CCM hawana ubavu wakufanya maamuzi magumu...hali ni ileile
Back
Top Bottom