Recent content by charzz

  1. C

    Urusi yaua zaidi ya wanajeshi 1,200 wa Ukraine katika operesheni ya Zelensky iliyofeli ya kurejesha miji

    Mmoja anapigania nchi yake mwingine haeleweki anapigania nini
  2. C

    Tofauti Kati ya vita na special Operation

    Ile ni vita ila anapunguza ukali wa maneno ili kukwepa rungu la UN
  3. C

    Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

    Unalala na kifo asee, wewe tubu dhambi zako tu kila siku maana inaonekana upo hatarini kuuliwa usingizini.
  4. C

    Rais Samia asisitiza kwa mara nyingine "hakuna kumuweka mtu mahabusu kama upelelezi haujakamikika"

    Sasa kama polisi wanaweka mtu ndani bila kosa lolote, watafuatilia hilo kweli. Shida nyingine ni kua PT wengi (asilimia kubwa) hawajui sheria na wala hawataki kujifunza sheria walau kidogo.
  5. C

    Nia njema ya mbolea za ruzuku inaweza kuwa anguko kwa Waziri Bashe

    Watafaidi wachache, tena wenye uwezo kifedha. Huku wengine wakiambulia patupu
Back
Top Bottom