Ni muhimu sana. Hapa tatizo ni kwa namna upate taarifa za mpenzi, tambua mpenzi wako anatoka jamii gani kisha anza kutafuta mtu/watu wa jamii hiyo utapata taarifa zinazomhusu mpenzi wako. Ni watu wachache sana ambao wanaweza kukupa background yao kwa usahihi. Hii sehemu ndio vijana tunaangakia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.