Recent content by charlesseba2000

  1. C

    Kampuni ya FIC imenitapeli. Naombeni Ushauri

    F. I. C wamesepa na mzigo, ije Ponzi nyingine tena mtajirike usikate tamaa dawa ya moto ni moto
  2. C

    BEN SAANANE UKO WAPI?

    Unakumbukwa na ndugu, jamaa na marafiki. Pia wapigania uhuru, Mungu akupe wepesi uje kama akina Roma
  3. C

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    CCM HAMLALI KUANDIKA UPUMBAVU, MTAISOMA NAMBA HAKUNA MTAKAYE MUUA ZAMU HII, TULIANZA NA MUNGU MLIPUUZA, HIYO NDIYO LAANA KWA CCM KUPUUZA VIONGOZI WA DINI. SUMAYE KAJIONDOA CCM BAADA YA CHAMA KUFUNIKWA NA RUSHWA KWANI WAPI CCM IMEPITA BILA RUSHWA. MPANGO MZIMA NI DELETE CCM DELETE VIRUS KWA...
  4. C

    Taarifa za Habari leo zatawaliwa na wananchi maelfu kuhama toka CCM kwenda CHADEMA

    Ccm tubadili jina ama sivyo hatuvuki.. Tanu - ccm - ........ 2015
  5. C

    Jina Chama cha Mapinduzi (CCM) limetokana na nini/wapi?

    Mwalimu Nyerere alipoona TANU imechoka akabadili kuwa CCM, kwa mwendo huu napendekeza kabla ya uchaguzi tutoke na jina jipya. Kwa hilo tutavuka salama.
Back
Top Bottom