Biashara ikifanyika kiholela hivyo unadhani serikali itapataje kodi itokanayo na mauzo hayo? Ndo maana yakaanzishwa masoko ya madini katika mikoa yenye madini.
Kuna kitu hujakiweka sawa hapo, wananchi unaosema waliishi kwa hofu au kulimia meno kipindi cha JPM je waliendesha maisha yao kwa njia halali au unaongelea wale jamaa wa madawa ya kulevya, wafanyabiashara kanjanja waliokwepa kodi, watumishi waliozoea upigaji serikalini, majambazi sugu na...
Ushawishi gani utawapa wazungu wakupe hela bila wao kufaidika na chochote? Ndo maana hii misaada inatolewa kwa mikataba yenye masharti lukuki, kwa kiongozi mwerevu akitafakali impact ya hayo masharti hawezi kukimbilia misaada ya hawa watu.
Hizo ni porojo tu za kisiasa, watu wanataka matokeo Chanya siyo maneno matupu, haingii akilini for more than 5 years hatukuwa na changamoto ya umeme then yeye ameingia mambo yamebadilika ghafla.
Utetezi anaotoa hau make sense hata kidogo, eti for 5 years service zilikuwa hazifanyiki ndio...
Ajira bwelele zipi?! Umesahau aliyoyaongea Zanzibar kuhusu ajira?! Anasema vijana wachangamkie fursa wajiajiri how? Bila kujengewa mazingira ya kujiajiri?
JPM alikuwa na lengo la kuwalea wajasiriamali wadogo ili wakuze mitaji yao na kuwa wafanyabiashara wakubwa baadae.
Suala la kuwapanga...
Katika uhalisia Tanzania bara (serikali ya JMT) ndo italipa hilo Deni, Zanzibar ina mamlaka yake ya mapato na TRA haihusiki na mapato ya Zanzibar, kifupi Zanzibar ni Kama parasite ndani ya muungano.
Bwashee mtoto akizaliwa na kukulia uchagani automatically anakuwa mchagga kutokana na jamii inayomzunguka hata kama wazazi wake ni makabila tofauti na wachagga.
Duh! Yaani mzazi amekulea, amekusomesha bado unataka Mali zake akugawie, mzazi anachoweza kukusaidia ni kukupa connection ya kazi ili upambana utafute zako na ujue uchungu wa mali. Watoto wengi wakipewa mitaji wanatapanya wanarudi tena kwa wazazi wao kwa sababu hawajui uchungu wa hizo Mali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.