Recent content by charles rodgers

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kamanda Lowassa: CCM ni hodari kwa kuiba kura

    Siku moja niliwahi kuandika kua wasomi wa kitanzania ubongo wao uko tumboni.Ni ngumu kuaminisha watu wenye akili zao kuwa kura huwa hazifai kuiba wakati hata mtu ambaye hana upeo wa kusoma ameshuhudia kwa macho.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Timu ya kampeni ya UKAWA/Lowassa mko wapi kwe social media jamani?!

    Yaani ingekuwa uwezo wangu ningesema aapishwe kwani alishashinda.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania yang'ara kwa Amani! Ya kwanza East Africa...

    Wewe mleta mada unastahili hilo tusi la Mkapa,kwani kwa kifupi hizo rasilimali zote ulizozitaja ukiulizwa zinakusaidiaje kwa huu mfumo wa ccm utatoa jibu gani?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Viongozi waukawa toeni tamko mkutano jumamosi upo au haupo

    Mbona mnajikita kuwalaumu UKAWA badala ya kutoa mawazo yenu kuwa tutumie namna zipi kuwakabili hawa wenye hati miliki ya Tanzania?Kulikuwa na sababu gani za msingi kuwazuia Ukawa kufungua kampeni zao jangwani?Je,wao sio Watanzania?au Tanzania ni ya CCM na sio Watanzania?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa akishindwa urais, yafuatayo yatatokea...

    Inawezekana huyu mleta mada ni mmoja wa wanaojiita wasomi wa Tanzania,kwani wasomi wengi wa Tanzania ubongo uko tumboni.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Maelfu wampokea Magufuli na kuhutubia Tunduma

    Kwani vijijini si ndiko maskini wengi walipo?Na mtaji wa CCM ni ujinga na umaskini wa Mtanzania.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nape na Lusinde Wailipua Mwanza bila ya Tinga Tinga

    Mpaka sasa inaelekea wa-Tanzania wengi hawajui wanachokitaka.Wengi wanaona kuwa shida ni haki yao ya msingi.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Magazeti Ya Kumhusu "Lowassa" Yaongoza Kwa Mauzo

    Ukawa ndio mpango mzima.Lowasa hoyeeeeeeee
  9. C

    JamiiForums Tanzania Sekondari iliyotoa viongozi na watu mashuhuri wengi Tanzania

    Tanga Technical Secondary school
  10. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa asiposhtakiwa, anashinda Uchaguzi mkuu

    Jaribuni kunishitaki nitoboe siri
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kashfa nyingine ya Mbowe: Kumbe Juma Duni Haji hajakabidhiwa kadi ya CHADEMA

    ccm hamtakosa la kusema kwani maji yako shingoni.Naona hivi sasa mmebakia kupika majungu tu.Poleni sana kwa sababu cjui kuanzia mwezi Nov. mtakula wapi.Hata nafasi za kusukuma torol zimekabwa.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa

    Kwa nini mnaongelea matatizo ya ukawa na kuacha kuongelea ya kwenu ndani ya ccm?Toa boriti kwenye jicho lako ndipo uweze kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.Very simple.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kama unamkubali mgombea wa CCM Dr. John Pombe Magufuli gonga like twende sawa

    Kwani Magufuli mnayemsifia anaenda kuongoza nchi kwa mfumo upi?Yaani makufuli tunaweza kumfananisha na remote .wenye chama watamburuza.Usitegemee jipya kwa Makomeo
  14. C

    JamiiForums Tanzania Alichofanya Rais Kikwete Australia ni sahihi?

    Hivi Kikwete naye ni Rais au ni Vasco Dagama?
Back
Top Bottom