Recent content by charles olomi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe amuunga mkono Mchungaji Gwajima, kesi ya kumkashifu Kardinali Pengo

    Anachotakiwa kufanya Gwajima pamoja na Mbowe ni kujiuliza ninani mshitaki wa Gwajima na sii kulalama. Kardinali alishasamehe na kukataa kujihusisha na upuuzi uliotoka midomoni mwa gwajima na hata serekali inafahamu hilo. Mwacheni Kardinali wetu atulie au mnafikiri nae ni mwana siasa? Alishaona...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe amuunga mkono Mchungaji Gwajima, kesi ya kumkashifu Kardinali Pengo

    Nipende kuweka sawa. Kardinali alishasamehe juu ya matusi aliyotukanwa na Gwajima. Anachotakiwa kukifanya Gwajima ni kuuliza ni nani mshitaki wake. Mbowe chunga sana juuya viongozi wa dini achana nao kabisa kumbuka wao ni zaidi ya siasa zetu za kijinga. Kardinali wetu aachwe asifanywe gazeti.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mhe. Makonda mfungulie kesi Askofu Gwajima

    Ameamua kunyamaza au tumwachie Mungu?
Back
Top Bottom