Recent content by charles marwa wambura

  1. C

    Nimeamini kuoa mwanamke aliyezalishwa ni sawa na kununua uwanja wenye mgogoro

    Hilo kweli, sasa ifanyike nini kuzuia hayo yasitokee? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    NEW! Nyayo za Mwanadamu wa kale, Zaidi ya 400 zagunduliwa Tanzania.

    Naomba kusema kuwa mwanasamu wa kwanza niyule aliumbwa na Mungu tatizo ni kuwa ni lini Mungu alifanya UUMBAJI ? Nasema hayo kwa sababu AFRICAN HISTORY tumedanganywa sana maana vitabu ving3ti vimeandikwa na waezungu na wao waliandika kwa kujipendelea Nasema hivyo kwa sababu mzungu analenga...
  3. C

    Mabankers Tusaidieni: Je, Commissioner General wa TRA ana Mamlaka ya Disclosure Details za Account ya mtu?

    Kwa uelewa wangu TRA inahaki kujua taarfa za akaunti ya mtu benki. Ila hiyo taarfa ni kati ya TRA na benki na mteja hisika tu. Hata kama Mch. Kakobe alikuwa kisiasa ananvutano na serikali kwa usalama wa kanisa na Mch, Kakobe ile huwa ni siri. Kama TRA watagunduwa kuwa hiyo hela ni haramu hapo...
  4. C

    Shaka: Lissu si mkweli, Abeid Karume, Dr. Kleruu na Mahinda walishambuliwa kwa risasi

    Mr shaka unatuziba macho!!!! Wale walio pigwa risasi ilijulika na wahusika walio wapiga walikatwa sheria ikafata mkondo wake. [emoji117] Swali nikuwa kwa nini waliompiga Lisu hawajakamatwa? [emoji117] Kwa nini kuwamba ngozi, hatuoni tv live, wakati wa bunge, [emoji117] ukikosoa jambo lolote...
  5. C

    Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    Nakumbuka jinsi upinzani ulikuwa ukitolewa nje ya bunge, nakudaiwa kuwa waapuuzi, tangu utawala wa MKAPA, JK, NA WA SASA JPM.
  6. C

    Clouds 360: TRA wamelipwa kodi zote magari 44 aliyokamata Waziri Mkuu kinachodaiwa ni storage ya TPA tu!

    Walipe storage hiyo storage ni hela ya serikali. Na yenyewe ni kodi ndiyo maana magari yamezuiliwa.
  7. C

    Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Tenda wema kisha nenda zako usingoje shukirani.
  8. C

    Hizi ni Sababu kwanini Scotland Yard na FBI hawana uwezo wa kuchunguza Kushambuliwa Tundu Lissu

    * Kwa nini uwahukumu kama hawawezi huku hujawapa nafasi waseme kama wameshindwa.? * Maswala yote hayo uliyo yataja ni ya huko kwao hayatuhusu. * Wewe ndiyo umeagizwa na serikali kuzuia wasije kwa hoja hizo, au wewe ndiye mwamuzi wakuamuwa waje au wasije.? Mimi ni mojawapo ambaye napenda...
  9. C

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Ahsante "le Mutuz" kwa yote uliyo yasema, ila nashukuru umekuwa mkweli kuyasema. Yote uliyo yasema wananchi tunajuliza ni hatuwa gani ilifanyika kufanya haki kwa waliotendwa na na serikali husika? Mimi naona umedhihirisha malalmiko yetu kwamba hili tatizo la watu wasiyo julikana serikali...
  10. C

    Spika Ndugai ajiridhisha wabunge 8 wa CUF kufukuzwa uanachama. Asema wamekosa sifa za kuwa wabunge

    Oooooh mimi nilifikiri walio wapigia kura ndo wangeulizwa, hata hawapewi nafasi wajielezi , mimi sikujuwa wamekosa nini hadi wanapigwa chini OK Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

    Maelezo yako yana busara lakini aliye leta mada bahati mbaya tumeikutiliza katikati labda alipata tiba yake au waadhirika wakufate uwasaidie lakini sio mambo ya uganga.
  12. C

    Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

    Sasa hakuna maelezo ya kitaalamu. Kusema kuwa vinaendana na mambo ya ushirikina ni upotoshaji.Mimi nashauri waafhirika waende hospitali.
  13. C

    Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

    Hivo vinyama kuna wanaume pia wanavyo, unashauriwa kwenda hospotali, vinaitwa bawaziri naamini vinatibika.
  14. C

    Waziri Mkuu aliyefanya kazi chini ya kiwango tokea Uhuru wa Tanganyika

    naomba kuuliza tu nani alisimamia shule za yebo yebo na matumizi ya ziwa victoria yaliafikiwa kule misri na nani???
Back
Top Bottom