Jamani mie naomba kupata ufafanuzi juu ya hizi ajira za polisi, unaajiriwa direct kwenye sector kulingana na fani yako? Au unaajiriwa kwenye vituo vya kazi vya polisi kawaida?
Hapo cha kuangalia sana sana kwa vijana ni ajira kuhusu hayo mambo mengine ya kisiasa sio muhimu sana.. Kwasababu watu wenye professional ya bandarini wengi wao wanaishia kuwa mtaani tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.