Recent content by Charles Dinda

  1. Charles Dinda

    TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    Hivii kuna uchaguzi wa nini tena inayo muhusu Lowassa na Dr Magufuli?
  2. Charles Dinda

    Kulinda kura vituoni: Ubishani wa nne wa kitaifa

    Jamani hawa wasakatonge tuwe makini nao tuliambiwa kuna mbinu 13 za kulinda uwizi wa kura sasa tunahamasishwa kuzilinda baada ya kupiga swali langu zile mbinu zimeyeyuka?au tuamini kuwa aliyetamka amezoea uwizi naje? hiyo jpili tutakuwa nao pamoja? mnisaidie maana siku zinayoyoma.
  3. Charles Dinda

    Kifo cha Filikunjombe, Lowassa alia

    Kunanini?,,? Vipi wadau kuhusu Mgimwa Mtoto?
  4. Charles Dinda

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Woote mnaochangia humu bila Shaka ni mazao ya.......itakuwaje uikatae inamaana hata wewe unajikataa?
  5. Charles Dinda

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Akilizako haziko Sawa tambua baada ya uchaguzi maisha yanaendelea kumbuka kwa elimu uliyoipata njombe haijakusaidia ila mkataa cha wengi ni mchawi huenda ukawa.
  6. Charles Dinda

    Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

    Huyu ndiye anaemaliza umaskini jamani kuweni makini.
  7. Charles Dinda

    Mdahalo wa amani kufanyika kesho, Oktoba 11, 2015, Blue Pearl Ubungo Plaza

    simplemind unajitambua?au mradi unajua kuandika?
  8. Charles Dinda

    Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    Usipingane na viongozi wako wamesema Jamaa siyo ila huko ni kama kanisa atatubu Kisha kuwa msafi tafsiri rahisi akiwa kule nishetani ila akiwa kwetu ni malaika SHAURI yao wwalishindwa wenyewe sasa kimya.
  9. Charles Dinda

    Familia ya Gwajima yaja juu kwa udanganyifu wa Askofu Gwajima

    Miongoni mwa watumishi wa Mungu nahuyu yumo?Changamya Yesu alikataa ndo maana anasema uchague moja kama baridi uwebaridi kabisa kama moto basi uwemoto kweli kweli huyu amewashikilia mabwana wangap?mbona hafananiiina mchungakondoo?sisi tunaoamini ktk Kristo aangalie upya asije akawa daraja la...
  10. Charles Dinda

    Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

    Ni bora kuamini Mungu yupo ili ikitokea umefika huko aliko ukamkuta kuliko kuamini kuwa hayupo halafu mwisho wasiku ukamkuta tuwe na kiasi ktk kupenda ushabiki huu utatumaliza.
  11. Charles Dinda

    Fahamu namna ya kuperuzi JamiiForums BURE

    Ukawa hoyeeeeeeeeeeee
Back
Top Bottom