Recent content by Charles Biggello

  1. C

    MacBook Pro Inauzwa

    MacBook Pro Inauzwa Ram 4gb HDD 1TB New Adapter Duo 2 Core Nyvdia Graphics Inch 13.3 Battery 3hrs Toleo 2010 All Softwares available Karibu Whatsapp kwa picha 0657348191
  2. C

    Kuanzia leo situmii tena kondomu, nitaenda dry hadi mwisho

    Nani anataka harufu kondom ni mbaya inaleta cancer
  3. C

    Kuchukua Coordinates za eneo lako au unalotaka kulimiliki

    Nahitaji hyo huduma tuwaslne 0717765082
  4. C

    Vyombo vya habari kutokurusha bunge LIVE

    Hauhitaji elimu ya chuo kikuu kujua haki yako ndugu kama huzjui haki zako kasome certificate ya law itakusaidia...uhuru wa taarifa ni muhimu kuliko hata kula...huwez kula kma hauna taarifa ya chakula ulacho
  5. C

    Vyombo vya habari kutokurusha bunge LIVE

    Habari za asubuhi wadau, Ni muda mrefu sana nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa serikali mpya ya awamu ya 5 Tanzania hususani katika kusimamia haki za watanzania ikiwemo ya kupata taarifa na uhuru wa vyombo vya habari. Kiukweli naona hoja zinapishana na sioni nguvu za wasomi wetu katika kuishauri...
Back
Top Bottom