Recent content by charivi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nahisi mpenzi wangu ana bwana mwingine

    Chamsingi.. Sameheaneni Kabisa.. Halafu Angalia Moyoni mwako na ujihakikishie kwa dhati ni kweli unpenda? Au unamtamani? Kwasababu kupenda na kutamani ni ngumu sana kutofautisha.. Ukishajihakikisha na kujiridhisha kua kweli unampenda. Ni kucheki Afya zenu? Pia jiulize uko tayari kumchukua...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ukiniacha nakuroga hadi kuku

    I know her Trust Me.. Hii ni Dar lkn watu tunaishi nao Mtaani dats y nakuambia kwa kujiamini I know her ungekua Muwazi kunitajia jina tu ninge kuthibitishia.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ukiniacha nakuroga hadi kuku

    Okay.. Lakn Kaka.. Angalia Mimi nakushauri Usije Ukafanya hicho kitu. Mwache tu. Kwanza utakua umejiepusha na Mengi pia utakua Umeepuka kumkosea Mungu kwasababu anakataza Mambo kama hayo she z not your Wife.. Ni Binti tu Umekutana nae Respect Her. Utakua Umefanya Vibaya sana kusex nae. Na dhambi...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ukiniacha nakuroga hadi kuku

    Au ni PM tuelezane Vzur Maana yawezekana Uko na Mschana wa watu bila ww kujijua
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ukiniacha nakuroga hadi kuku

    Kaka huyo Msichqna anaitwa nani? Heb niambie usinifiche.. Coz ninamjua na ninaweza kukupa hstoria yake kama utakuwa Muwazi kwangu trust Me
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mbavu zangu!

    Hahahaha
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nimemtafutia kazi sasa anakataa kutoa penzi kwa bosi, mimi nimfanyeje?

    Bora Asipate hyo kazi. Mwache mdogo wako amechkua Uamuzi Sahihi, kwani ukipata kazi kwa kutoa Penzi ni Lazima utaendelea kutoa Penzi ili kulinda Kazi yako.. We unamtakia mabaya mdogo wako wewe kwa kumshauri hvyo.. Kama Mungu amekusudia hapo atapata tu.. Na kama ni sehemu nyingine atapata labda...
Back
Top Bottom