Recent content by chardonnay

  1. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    Mimi ni mjasiliamali mzuri tu na hiyo pesa ambayo na hitaji sio big deal sanaa kwangu ila tu nina dharura kitu ambacho siwez kufanya kuuza vitu au kuvitoa vitu kheri kama mtu yupo tayari anaweza kupga tathimini ya vitu nilivyonavyo vina thamani kubwa zaid ya hyo pesa ninayoomba
  2. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    kwa ambaye mwenye uwezo wa kunikopesha naomba tafadhali anitafute 0685371375
  3. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    Najua kwa dhama hizi si rahisi mtu kukupatia pesa ki rahisi sasa inategemea na mtu mwenyewe anavyokuwa na mazingira yake kikubwa ni hadi kusema hivyo najiamini hivyo ambae yupo tayari tafadhal naomba anitafute mimi ni muungwana tu
  4. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    sofa,tv, friji na kabati vina thaman zaid ya hyo pesa ninayoomba
  5. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    Ndio tunaandikishiana vitu vitakuwa kwangu
  6. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    tatzi ndo lipo hapo mkuu sina gari
  7. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    sitak kuviuza ndo maana ingekuwa kuuza ningetangaza nauza au kuna hizi microfinance wasema peleka dhamana yako hapo ningevipeleka wanipe hela lakini kuepusha yote hayo ndo nikaona bora kama ataekuwa tayari kunisaidia aje avione sio kuvichukua hadi nitakaposhindwa kulipa hapo ni ruksa kuvichukua
  8. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    asante mkuu, patakuwa wazi leo?
  9. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    hapana mkuu tatzo ni kwamba nina shida ya dharura sio mikopo mingine inaprocess utaambiwa hivi mara vile sasa vitu vingne sina raba leseni ya biashara, bank statement sijui nini yaani kwangu vinakuwa vigumu wengine magar pikipiki bajaj sasa hvyo mi sina
  10. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    ni furniture mkuu sofa, kabati,tv flat inch 32,frij,kitanda n.k
  11. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    asante mkuu tatzo ni kwanza mi si mwajiriwa hapo siwez kupata mkopo
  12. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    tatzo kwamba mi si mtumishi wa serikali ni mjasiliamali
  13. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    naishi kimara stopover
  14. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    naishi kimara stopover
  15. chardonnay

    Nahitaji mkopo wa dharura (+ riba)

    Wakuu nina shida ya haraka ni muhimu zaidi 1,000,000 nina dhamana za vitu vya ndani vyenye thamani zaidi malipo ni baada ya mwezi atachagua mwenyewe nirejeshe kiasi gani
Back
Top Bottom