Mawazo ya kuendelea kuumiza wananchibkwa kodi huku viongozi na familia zao wakiendelea kujinunulia magari ya mabilion na kuficha pesa nje ya nchi ni mawazo ya kiuaji kabisa hivyo wewe na mawazo yako wote washenzi tu.
CCM na viongozi wake kwa sasa hawahitaji kura za wananchi ili kushika dola na wala hawana heshima nazo tena,wanacho hitaji wao ni polisi na bunduki pekee, kuamini kinyume na hivyo ni kujipumbaza sana
Samia na magufuli wanaroho ya chuki na wamefanikiwa kuipandikiza CCM roho hiyo wanaamini siasa si upinzani wa sera,misimamo na hoja bali ni vita,uadui na ugomvi.
Ulicho fanya nikumsababishia mwenzio matatizo hilo sio jina lako huenda ni jina la mwalimu usiye mpenda au mliye gombana imeamua kumuundia msala ujasiri wako wa kujianika tungeuona kwenye ID yako hapo
Huyu kùma kweli nyerere aliasisi kuteka na kuua raia hovyo? Kwani nyerere aliasisi viongozi kujilimbikizia mali na wizi na ufisadi huku walikulindwa na serikali? Mbona hilo hasemi
We likundu neno hilo hilo limeandika usiue ,usiibe,usidhurumu, sasa kuna dhambi gani wahubiri kutolea mifano kwa wanao uawa na serikali kama yesu alivyo toa mifano?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.