Recent content by chapuga

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    wapo buguruni wakumwaga nenda xa tatu ucku utawakuta
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa mke wangu nateseka mie

    aenda kwa mganga wa jadi ndan ya lisaa tu lazma arud
  3. C

    JamiiForums Tanzania Bahati bukuku apa ajali

    rambirambi atapokea gwajima
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji mchumba wa kiume

    mi mwenyewe natafta mke wa kuoa kaz yangu mwl nipo tukuyu mbeya cna vgezo wala mashariti kwa aliye tayari ni pm
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani

    sitafti bikra tena nataka hata used ambaye nae awe alishawah tendwa ili tusijerudia tena makoxa na kuumizana tena
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani

    thanks jamaa yangu najkaza kiume malengo yangu yote yamevurugika japo itanibd kujpanga upya watu hawapangi kushndwa ila wanashndwa kupanga!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani

    Nilikuwa na mpenzi wangu kijijini tuliahidiana mengi sana likiwemo kuoana but nilipomaliza chuo na kwa bahati nzuri nikapangiwa kazi kijijin kwao niliyoyakuta sikuamini macho yangu. Kwanza wakati natoka Dar nikamlipia nauli ili tukutane mjini huku nikiwa na hamu na shauku ya kumuona mpenzi...
Back
Top Bottom