Kumbuka andiko kuwa wote waliompokea walifanyika kuwa watoto wa Mungu,si kwa mapenzi ya mwili na wala ya damu nk.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu haitaji kutetewa na mwanaadamu ww,ndio maana hakuwa na jeshi duniani,yeye anajiamini na anajijua ni nani,na alikuwa anajua kilichomleta duniani,hakuja duniani kula bata,na ndio maana hakujishughulisha na maisha yenu ya kidunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini uwe wa Mama,hakuna mtu asiye na baba wewe,asiye na baba hajazaliwa duniani,kila mtoto ana baba yake,sema aidha baba yake hajulikani,au watu wamuharamisha kwa itikadi zao,huwezi kuzaliwa bila baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakristo wanamfahamu ni Yesu Mnazareti pekee mwana Mariam,ambaye Mimba yake ilipatikana kwa uwezo wa Roho Mtakatifu,yaani uwezo wa Kimungu tu ulimfanye awepo,yaani Baba yake ni yule mwenye uwezo uliyemfanya awepo.Ambaye alikuwa na wafuasi kumi na mbili,akiwemo Petro,Yuda.na wengineo.
Sent using...
Kwa nini iwe Injili ya Barbanaba tu ndio ipinge kifo cha Yesu,na kwa nn waislamu wakubaliane na Yeye tu,wakawapinga wengine,wakati ndani Qurai hata nusu ya Injili haipo,wamedokoa dokoa vistori vidogo vidogo tu,huoni mtiririko wa maisha ya Yesu ktk Quran.
Halafu jiulize watu wa
Sent using Jamii...
90% ya Amani duniani imechangiwa na Dini na haswa ile Dini ya Yesu,
Dini pamoja na madhaifu yake imetupa ustaarabu waafrika ambao ktk zama za giza tulikuwa tunafanyiana sana.sisi kule kwetu songea uchawi ulikuwa wa kiwango cha juu sana,lakini dini imetengeneza upendo wa aina furani,yale mambo...
Naomba mnisaidie kumjua huyo mtu aliyetunga habari za Yesu mnazareti,kwani uwezo wake haukua wa kibinaadamu,hivi aliwezaje kutunga hadithi ya Mtu mkamilifu vile,ambae aliishi kwa uwezo wa ajabu,nisaidieni nimjue mtu huyo ili nimwabudu Mungu kupitia yeye,na hata kama Mungu hayupo nimwabudu huyo...
Unapenda sana kuamini kila andiko bila kujua limetoka kwa Mungu wa kweli au shetani,haya maandiko katika vitabu vyote yameandikwa na wanaadamu tu,
Pia angalia ukweli na ubora wa jambo lililoandikwa,utukufu wa mtu hupimwa kwa matendo yake,ndio maana hata Wafalme kama Daudi walipofanya makosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.