Recent content by ChanjoSugu

  1. C

    Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

    Leo tarehe 13 Oktoba 2022, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata shehena ya mizigo ya vitenge ya marobota 290 katika kontena mbili yenye thamani zaidi ya tsh. Billioni 5 iliyopitishwa kwa magendo katika bandari zetu. Mfanyabiashara mwenye shehena hiyo alitorokea Dubai majuma matatu...
  2. C

    Mfahamu dereva aliyetumia saa 12 Dar - Songea miaka 90

    Giriki alikuwa anapiga fimbo Superstar Dar- Dom ile enzi ya kuondoka saa 2 usiku saa 9 yupo Msimbazi stand
  3. C

    Mfahamu dereva aliyetumia saa 12 Dar - Songea miaka 90

    Moshi/Arusha Dar Express na Ngoroka saa 6 mchana wapo Shekilango
  4. C

    Mfahamu dereva aliyetumia saa 12 Dar - Songea miaka 90

    Songea ilikuwa Kiswele marehemu Allan alikuwa balaa
  5. C

    Mfahamu dereva aliyetumia saa 12 Dar - Songea miaka 90

    Masia na Matema saa 2 kasoro Moro..Saa 4½ Comfort.. Saa 5 ¼ Iringa na Saa na robo Mbeya
  6. C

    Tetesi: Za ndani kabisa mkuu wa PGO muda wowote kulikwa Kadi nyekundu akifuatiwa na namba tatu katika tasnia hiyohiyo

    Kamishna Awadh ni Mrangi wa Kondoa sasa Singida na Kondoa wapi na wapi Mkuu
  7. C

    Msaada; Eneo zilipo Ofisi za Mkurugenzi wa Ubungo

    Hata akifanya proofreading atarudia hivyo hivyo huyu sijui kabila gani
  8. C

    Urasimu kwa Serikali kulipa wadeni wake na usumbufu wapatao watoa huduma

    Ndiyo maana wizi unakuwa mkubwa ili kufidia hasara hizi zisizo za lazima
  9. C

    Urasimu kwa Serikali kulipa wadeni wake na usumbufu wapatao watoa huduma

    Kilio cha Wakandarasi na Wazabuni wa Serikali,Nini kifanyike watu wanateseka! Kwa miaka michache ya karibuni serikali imeandaa utaratibu mpya wa malipo kwa Wakandarasi na Wazabuni wanaoidai serikali kutokana na huduma mbalimbali walizotoa. Mfumo huu uitwao Gpay hutaka mdai kukamilisha taratibu...
  10. C

    Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Sasa kauza nyumba yake wewe inakuhusu nini pesa yake?
  11. C

    Kwanini ajenda ya kupanda miti ni muhimu sana kwa sasa

    Miti ya asili ilipokatwa Rufiji huko ipatayo 2,600,000 kwenye eneo la ukubwa sawa ma jiji lote la Dar watu walishangilia..matokeo ndiyo hayo sasa
Back
Top Bottom