Hakijapimwa,kiko karibu na barabara kuu,pia karibu na kituo cha daladala,unaweza jenga nyumba kubwa bila matatizo,kimoja kina upana wa mita 25 na kingine mita 37,gari mpaka uwanjani,kiko eneo la Mvuti,unaweza pita njia ya chanika au mbagala,ni eneo tambalale na kuna majirani,bei haina maongezi...