Recent content by changwala

  1. C

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    october 25 ndo mbivu na mbichi itajulikana
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hatari ya kuwagawanya watanzania kutoka kwa wapiga kampeni wa CCM

    si yetu macho tu nangoja tarehe 25 october
  3. C

    JamiiForums Tanzania "Nifanyaje kwani bado nampenda"

    Nina mpenzi wangu nampenda sana bali hana anachojua kitandani,nimejitahidi kumfundisha zaidi ya miaka 2 sasa lkn hamna improvement yeyote ile.Nikimwangalia huwa namtamani sana lkn linapokuja suala ya ku do si enjoy lolote kutoka kwake.
  4. C

    JamiiForums Tanzania "je hili ni chaguo la mungu"

    Ulikua na mume au mke wako ukagundua amechepuka na kupata mtoto nje ya ndoa yenu na ukaamua kumuacha.Ukazidisha maombi kwa muumba ili akupatie wa kufanana nawe lakini kila ukionyeshwa na mungu inakuja picha ya yuleyule uliemuacha.Je utamrudia? na je huyo ni chaguo la mungu?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa kurejea ofisini CHADEMA

    sheeeeeeeda! kwelikweli "SI HASA"kweli ni balaa leo utasikia hili kesho lile lkn mpaka october 30 zitabaki kelele za kuibiana kura tu mengineyo yatakua yameisha.
Back
Top Bottom