Mimi ni fundi ujenzi (majengo) katika wilaya X ninajenga na kufanya kazi za serikali kwa njia ya force account lakini ikifika swala la malipo ninazungushwa sana mara taarifa zinakuja eti kunamaboresho ya mfumo sasa yapata miezi mitatu tangu marekebisho yasemekane kwani hayaishi?? Maana...
Mimi nina ujuzi wa ufundi ujenzi nimesoma Veta kwa miaka mitatu, nimefanya kazi mtaani kwa muda wa zaidi ya miaka mitano kwahiyo nina uzoefu. Nasoma ramani, nachora ramani za majengo na pia nadesign ramani za majengo, natafuta ajira iwe kwenye taasisi au mtu binafsi 🙏 🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.