Baada ya note7 kulipuka sasa nimeshikwa na Iphone 7plus 256gb ila nasubiri ipoe kidogo,
lakini kabla haijapowa naombeni msaada wa kiufahamu ni kwanini simu za iphone zinauzwa bei gali kuliko sim zote wakati kwenye ram wako nyuma kila toleo? kwa mfano galaxy s7 edge 4gb ram, iphone 7plus 3gb ram
Niliyoyapenda kwenye hotuba ya Ngwajima
1.Ni nini kinachosumbuwa? Kinachosumbuwa ni wakati na majira.
2.wakati wa baridi watu wanavaa makoti, sio kwamba unavaa koti ili iwe baridi, unavaa koti unajiajast na weather
3.Majira ya mtu yakifika huwezi kushindana naye...
Unachanganywaje na propaganda uzushi fitina na uongo?
Usitumie kichwa cha mtu mwingine kufikiri na kuamua, tumia cha kwako, na utawabaini mbwa mwitu waliova ngozi ya kondo.
Ufisadi hapa si ishu, kama Lowassa ametimiza vigezo vyote vya kisheria vya kuwa mgombea wa kiti cha urais hana hatia, na kama polepole na wengine wameshindwa kumuwekea zuio la kisheria mahakamani au nec ili asigombee, hawana hoja wala ushaidi wa madai yao ya ufisadi, ni MAKASUKU TU HAO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.