Recent content by chambilino

  1. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa adaiwa kumwandikia meseji ya vitisho IGP

    Mtambo wa mwigulu alonunua yerusalemu umeanza kazi zake. Dr. Slaa ni mtu makini hawezi kucheza kipuuzi hivi kama ishu ya kumtesa ulimboka.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Diplomasia itumike kutatua mpaka wa Tanzania na Malawi

    Viongoz wetu wanapaswa kuwa makini kwenye jambo hili tena kwa kipindi hichi ambacho tumegundua kuwepo kwa rasilimali ya mafuta, gesi na makaa ya mawe. Ipo kila sababu ya kuwafanya super power kuingilia jambo hili ili waweze kujichukulia mali zetu bure. Sisi hatuna kiwanda cha kutengeneza silaha...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    I believe that every creature in this mother world likes to live,peacefully and with hope. We African Brothers (Malawi & Tanzania) in a number of years we have common understanding and good relationship,why becoming eager to fight?? Is this a real solution to solve the problem raised over Lake...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kova: Kelele Zenu Ni Bure, Ahmed Msangi Ni Mtu Safi. Lazima Aongoze Tume...

    Duh! simchezo! nimeamini kwamba Msangi sio mtu safi, sasa serikali yetu itafika wapi kama inatumia watu wachafu kujisafisha...
Back
Top Bottom