Me naona ya Leo haina shida mana mpira wamemiliki sana Azam, mimi wasi wasi wangu ni Mechi dhidi ya Yanga, nina wasiwasi kwamba Yanga wamepewa hela ili wafungwe na Simba, haiwezekani Yanga iliyobora kabisa na inaongoza ligi ikafungwe na Simba hii Mbovu, ambayo iko nafasi ya 3 hii imeniuma sana...