Recent content by challebahu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Namanisha kujiunga na hiyo ziro tarifu ( matumizi chini ya unit 75)
  2. C

    JamiiForums Tanzania Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Je Wateja wanao tumia umeme chini ya Units 75 kwa mwezi bado wanasajiliwa?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM, angebana zaidi upinzani kuliko ilivyo hivi sasa

    Sio tu CCM ata kama angeshinda kupitia Chadema, Ccm ingedidizwa vibaya sana, labda kama Chadema wanamfumo wa kukontroo kiongozi wao ambae atakua Raisi.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya CCM mkoa wa Dar Es Salaam kufanya kampeni ya uchaguzi Serikali za Mitaa msajili na waziri wa Serikali za Mitaa watatuambia nini wananchi?

    Msajili Siku zote anasema hajapokea malalamiko yoyote kutoka kwa vyama vya siasa, wakifanya wapizani utasikia "natoa onyo kwa vyama vinavyo anza kampeni mapema" bila ya kupokea malalamiko yoyote.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nyerere katika kuwabeba wahindi na matokeo yake kwa Mtanzania wa sasa

    Huu ni ubaguzu wa wazi. Dunia ni yetu wote. Wahindi wana miaka zaidi ya 200 hapa, waliopo ni Watanzania kama Watanzania wengine na hawakuchaguwa kuzaliwa hapa.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hili kosa kama atalifanya CAG wiki hii basi atakuwa amepatikana na atasimamishwa kihalali

    Yeye aipeleke wakikataa atuwekee kwenye Website yake sisi tuisome kwani IPO lakini aijakamilika. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli usipotoa ajira kwa hawa walimu wote 91,000 nakuhakikishi 2020 utaangukia pua

    Nani kakwambia jpm ana tegemea Wapiga kura, Jpm anategemea mtagazaji wa matokeo, nyie pigeni kura mtakako taka ila atakae tangazwa ni Jpm. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

    Mafanikio ya Taifa Stars yametokana na Timu za Afcon kuongezwa, na sio Tanzania tu ilio nufaika kuna Burundi, Namibia, Madagascar ata na Kenya.Afcon zimeongezwa timu kutoka timu 16 adi 24, kama ingekua idadi ya zamani Taifa Stars isingefuzu pamoja na izo timu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Jengo la Tundu Lissu na majirani zake pamoja na Naibu Spika hayajawai kufungwa CCTV camera

    Akumbuke kua kuna goole-arth ambayo ukiangalia Tarehe kabla lissu ajapigwa lisasi, kwenye majengo hayo kulikua na CCTV Camera au la. Wenye bandle la kutosha akasachi goole-arth kwenye Playstore Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yamhakikishia Usalama Tundu Lissu akirejea nchini

    Hiyo sio kesi ya lissu ni kesi ya jamhuli. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom