Recent content by challebahu maige nim

  1. challebahu maige nim

    Gazeti la Afrika Kusini lamchambua Magufuli: Kutoka kiongozi mwenye maono hadi dikteta

    Ubaguzi utawafumba Macho na Masikio ASA wana CCM, na kusema vyombo vya nje vinapenda kuandika mabaya tu. lakini kilicho andikwa kwenye Post hiyo ni kweli tupu. Alianza vizuri, akalewa sifa sasa anaenda vibaya.
  2. challebahu maige nim

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Rimoti ya kujazia umeme ya mita Namba hii 24214235368, imealibika. Siwezi kujaza umeme, je kunanjia ingine ya kuingiza umeme bila Rimoti?
  3. challebahu maige nim

    Polepole ataka Zitto Kabwe achukuliwe hatua kwa kupotosha ripoti ya CAG, amtaka 2020 atafute kazi nyingine

    Leo ndio nimeamini katiba, inayo tumika ni ya Ccm. Katiba inamtaka CAG kukabizi Taarifa kwa Raisi badae Bungeni ili ijadiliwe, na sio Serikali ya ccm. Polepole kazibitisha katiba ni ya ccm.
  4. challebahu maige nim

    Mwenyekiti wa CCM Mara: Chama kina mamlaka ya kumuondoa hata Rais

    Kumondoa madarakani Raisi, ni njia mbili tu. Bunge na kufukuzwa na Chama chake. Bungeni inatakiwa kura ya kutokua na imani nae, isiopungua serusi mbili ya Wabunge wote. Kumfukuza chama kwa Ccm, ni mkutano mkuu tu, kwani yeye ni Mwenyekiti wa ccm, Taifa. Yote hayo hayawezekani kwa sasa kwani...
  5. challebahu maige nim

    Waliomsimamisha masomo Abdul Nondo kuburuzwa mahakamani

    Hizi siasa za chuki zitaialibu hii Nchi. MTU kua na kesi asipate Elimu, wakati wafungwa wanapewa elimu, na baazi ya wafungwa wanapata Degree.
  6. challebahu maige nim

    RPC Mwanza elewa kuwa vikao misibani haviepukiki na ni vya muhimu sana

    Siasa sio ualifu, kila kinacho fanyika Duniani ni Siasa, ata hayo anayo yafanya RPC, ni Siasa tena Siasa chafu.
  7. challebahu maige nim

    Baada ya kumshikilia Abdul Nondo kwa siku 13, DCI, IGP na AG waburutwa Kortini

    Safi sana, lakini wajue kua wao ni Watete wa haki za Binadamu sio Watetezi Binadamu maarufu. Kuna watu wengi sana hua wanashiliwa na Polisi, kwa ata kufikia Mwezi bila kufikishwa Mahakamani. Wao wanakalia kuangalia kesi au Watu maarufu tu.
  8. challebahu maige nim

    Huu ndio ukweli juu ya kuchafuliwa kwa Rais Magufuli na hili gazeti

    Gazeti linauzwa wapi nikanunue? Talipia mala mbili ya bei .
  9. challebahu maige nim

    Ripoti ya UN: Finland yashika namba 1 kwenye orodha ya nchi zenye furaha zaidi duniani; Tanzania ya nne kutoka mwisho

    Nchi izo za Nordic,ata adhabu yao mwisho ni miaka 23 jela. Na bado wana amani kubwa.
  10. challebahu maige nim

    Hanang, Manyara: Diwani kata ya Gehandu, Mathayo Samhenda(ACT-Wazalendo) amejiuzulu na kuhamia CCM

    Mzalendo namba moja hawezi kualibu kodi za Watz, kwa kufanya uchaguzi kila baada miezi 2. Mzalendo namba moja angewashauri, wamuunge mkono wakiwa hukohuko, mpaka 2020, ndio akawachukua. Ili kuokoa hela za Watz.
  11. challebahu maige nim

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Mutungi awalima barua CHADEMA kwa kufanya maandamano Februari 16, 2018

    Watu waki za Binadamu, waunde tume ya kufuatilia Wafugwa wote alio wafunga wakati alipokua jaji. Kwani naamini atakua aliwahukumu kimakosa. Jaji gani wa hivi.
  12. challebahu maige nim

    Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    " nikiingia madsrakani nitaanzisha Mahakama ya Mafisadi ili Wafungwe harakaharaka" mpaka Leo sijawai kusikia Fisadi kafungwa.
  13. challebahu maige nim

    TCRA yavipiga faini Vituo vya runinga ya Tsh. Mil 60 kwa kukiuka maadili ya uandishi na kutangaza habari za kichochezi

    Mahakama pekee ndio ingetoa hukumu, sio watu walioteuliwa Raisi ambae anatokana na Chama kilichopiga watu mapanga
Back
Top Bottom